• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Nyota ya Liverpool EPL yazimwa 1-0 na Crystal Palace 

NA MWANGI MUIRURI  LIVERPOOL imesimamishwa na Crystal Palace katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa...

Rotterdam Marathon, mbio alizosubiria kwa hamu kubwa Kiptum zatimkwa Uholanzi

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Eindhoven Marathon Kenneth Kipkemboi ni mmoja wa watimkaji wanaopigiwa upatu kutwaa taji la Rotterdam...

Kama mna nguvu mtufikie basi, Man City waashiria Arsenal na Liverpool wakilipua Luton 5-1

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Manchester City wameng’oa Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kukung’uta Luton...

Miaka 12! Staa wa zamani Chelsea, Real ampiga teke mkewe msaliti

NA CHRIS ADUNGO MIAKA 12! Huo ndio muda uliomchukua kiungo wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Geremi Njitap, kugundua kuwa mapacha...

Man City mawindoni kutia presha vinara Arsenal, Liverpool kileleni

MANCHESTER, UINGEREZA NAMBARI tatu Manchester City leo wataalika Luton Town (18) ugani Etihad katika mechi ambayo hawana budi kushinda...

Raphael Varane kupigwa bei ya jioni na Man United

NA CECIL ODONGO MFARANSA Raphael Varane (pichani) anaongoza orodha ya mastaa wanaotarajiwa kuondoka Manchester United mwisho wa msimu...

Kwa mara ya kwanza, uwezo wa Arsenal kutwaa ubingwa wa ligi umepita wa Liverpool – Ubashiri

Na GEOFFREY ANENE UWEZO wa Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu wa 2023-2024 umepita wa Liverpool katika vita vya...

Arsenal yapata afueni ratiba ya EPL ikigeuzwa

LONDON, Uingereza Mechi kadhaa za Ligi Kuu ya Uingereza zimesukumwa mbele siku moja zikiwemo za farasi watatu Arsenal, Liverpool na...

Ulikuwa usiku wa sare sare katika robofainali za Uefa

LONDON, Uingereza Kocha Mikel Arteta amesema makosa madogo madogo kwenye ngome ndio yaliyosababisha kikosi chake cha Arsenal kutoka sare...

Arsenal waanza kunyanyaswa na miamba Bayern mechi ya Uefa

UPDATE: Mechi ilimalizika kwa sare ya 2-2 baada ya Arsenal kusawazisha kupitia mshambuliaji Leandro Trossard dakika ya 76 Na FATUMA...

Leteni hao majeruhi Bayern tuwape dozi, Arsenal sasa yajigamba

NA MASHIRIKA KIUNGO mshambuliaji Martin Ødegaard amesema Arsenal hawaogopi vigogo wa Ujerumani, Bayern Munich anayochezea straika matata...

Arteta ala mori, United na Liverpool zikisare

NA JOHN ASHIHUNDU KOCHA Mikel Arteta amesema wachezaji wake wanafanya kazi kwa bidii ya mchwa kuweka ulinzi mkali katika kila mechi, na...