Newcastle pua na mdomo kuingia fainali ya Carabao Cup baada ya kukomoa Southampton katika mkondo wa kwanza wa nusu-fainali

Na MASHIRIKA NEWCASTLE United walinusia rekodi ya kuwahi kutinga fainali ya Carabao Cup kwa mara ya kwanza katika historia baada ya...

Obiri na Korir kushindania ubingwa wa Ras Al Khaimah Half Marathon Milki za Kiarabu

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA Hellen Obiri, Judith Korir na Daniel Mateiko watarejea nchini Milki za Kiarabu kuwinda tuzo ya mshindi ya Ras...

Mkutano ulituletea ushindi, adai Kane

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza NAHODHA Harry Kane amesema mkutano wa wachezaji ulisaidia timu hiyo kurejea katika kiwango chake bora...

Wanaraga wa KCB watolewa jasho wakipiga Strathmore Leos ligi ya Kenya Cup

Na GEOFFREY ANENE VIONGOZI KCB RFC walizoa ushindi wa saba mfululizo kwenye Ligi Kuu ya raga nchini (Kenya Cup) baada ya kuzima Leos ya...

Sambakhalu FC watwaa Lwanga Cup

NA JOHN ASHIHUNDU SAMBAKHALU FC wameibuka mabingwa wa kombe la Charles Lwanga katika Wadi ya Isukha Kusini, eneo la Shinyalu, Kaunti ya...

Chipukizi Jude Bellingham na Jamie Bynoe-Gittens wabeba Borussia Dortmund katika Bundesliga

Na MASHIRIKA CHIPUKIZI wa Uingereza, Jude Bellingham na Jamie Bynoe-Gittens walifunga bao kila mmoja na kusaidia Borussia Dortmund...

Vihiga Queens na Nakuru City Queens wapigana vita vikali KWPL

NA AREGE RUTH VIHIGA Queens waliendelea kusalia kileleni mwa jedwali na alama 16 baada ya raundi ya sita ya mechi za Ligi Kuu ya...

Haaland afunga hat-trick ya nne katika mechi 19 za EPL na kufikisha jumla ya mabao 31 akichezea Man-City

Na MASHIRIKA ERLING Haaland alifunga mabao matatu katika mechi moja (hat-trick) kwa mara ya nne msimu huu wa 2022-23 kwenye Ligi Kuu ya...

Atletico yakung’uta Real Valladolid katika La Liga na kuingia ndani ya mduara wa nne-bora jedwalini

Na MASHIRIKA MABAO matatu ya kipindi cha kwanza yalisaidia Atletico Madrid kuwakomoa Real Valladolid 3-0 katika Ligi Kuu ya Uhispania (La...

Nakuru City Queens wanyorosha Ulinzi Starlets, Zetech Sparks ikisagasaga Kayole

AREGE RUTH Na OSBORN MANYENGO WANAJESHI wa Ulinzi Starlets walipoteza mechi ya kwanza nyumbani jana Jumapili, waliponyoroshwa 3-1 na...

Arsenal wakomoa Man-United uwanjani Emirates na kuendeleza ubabe wao katika EPL msimu huu

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendelea kudhibiti kilele cha jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya bao la dakika ya mwisho kutoka kwa...

Kipkirui na Cheserek watamba Santa Pola Half Marathon Uhispania

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA Bernard Kipkirui na Beatrice Cheserek wametawala mbio za Vila de Santa Pola Half Marathon nchini Uhispania,...