Man-United na Palace watoshana nguvu kwa sare ya 1-1 katika EPL ugani Selhurst Park

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipoteza alama muhimu katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya Crystal Palace kuwalazimishia sare ya...

Kangemi Ladies wavamiwa na Nakuru City Queens ligini KWPL

NA AREGE RUTH KANGEMI Ladies walipata kipigo cha nne mtawalia msimu huu, waliponyeshewa 4-0 na Nakuru City Queens kwenye mechi ya Ligi...

Fataki City wakialika Spurs EPL

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza BAADA ya kupoteza mechi zao za debi mwishoni mwa wiki, Manchester City na Tottenham Hotspur watashuka leo...

Kocha Jurgen Klopp asema hataondoka Liverpool kwa hiari iwapo hatatimuliwa

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp amesema hana mpango wowote wa kuondoka kambini mwa Liverpool iwapo hatalazimishwa kufunganya virago. Hata...

Soka: Young City Academy yazamia kuzalisha na kukuza vipawa

NA PATRICK KILAVUKA YOUNG City Academy sasa yasajili makinda wake wa soka kujijengea shina la timu. Tayari imesajili wachezaji...

Kocha William Muluya aamini chipukizi wa Kariobangi Sharks watatesa ligini

NA JOHN KIMWERE  KOCHA mkuu wa Kariobangi Sharks, William Muluya anaamini kuwa kikosi chake cha wachezaji chipukizi kitafanya kweli...

Arsenal wapepea EPL

Na MASHIRIKA ARSENAL walifungua mwanya wa alama nane kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kukomoa Tottenham...

Chelsea waangusha Palace ugani Stamford Bridge na kumpunguzia kocha Graham Potter presha ya kupigwa kalamu

Na MASHIRIKA CHELSEA walimpunguzia kocha Graham Potter presha ya kutimuliwa baada ya bao la Kai Havertz kuwavunia ushindi mwembamba wa 1-0...

Rennes waangusha miamba PSG katika Ligi Kuu ya Ufaransa

Na MASHIRIKA MIAMBA Paris Saint-Germain (PSG) walipoteza mchuano wa pili mfululizo ugenini katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) baada...

Dereva chipukizi Anwar tayari kupeperusha bendera ya Kenya mbio za magari za dunia

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Mbio za Magari Afrika (ARC) kitengo cha chipukizi Hamza Anwar anasubiri kwa hamu kubwa kuonyesha talanta yake...

Barcelona watandika Real Madrid na kutawazwa wafalme wa Spanish Super Cup

Na MASHIRIKA KOCHA Xavi Hernandez alinyanyua taji lake la kwanza akidhibiti mikoba ya Barcelona kufuatia ushindi wa 3-1 uliosajiliwa na...

Beki wa Kibera Black Stars FC asema klabu imejiwekea malengo ya kufuzu kushiriki FKF-PL

Na JOHN KIMWERE  BEKI wa Kibera Black Stars FC (KBS), Nicodemus Onyango anaamini kuwa wanatosha mboga kufanya kweli kwenye ngarambe...