• Nairobi
  • Last Updated October 1st, 2023 9:40 PM

JAGINA WA SPOTI: Alitikisa soka Harambee Starlets sasa ni katibu FKF Pwani

NA CHARLES ONGADI NI kati ya wachezaji waliong’ara sana katika timu ya taifa ya akina dada ‘Harambee Starlets’ miaka ya 90 kabla ya...

Macho kwa Japan, Uhispania Kombe la Dunia la Wanawake likiingia 16-bora

NA MASHIRIKA SYDNEY, Australia JAPAN na Uhispania wanapigiwa upatu kunyanyasa Norway na Uswisi kwenye Kombe la Dunia la Wanawake...

Nyati FC pabaya katika Ligi ya NERL

NA JOHN KIMWERE KOCHA  Michael Wanjohi  wa Nyati FC amesema wamejikuta pabaya kwenye kampeni za mechi za Zoni C Ligi ya Kanda ya...

Mane amfuata Ronaldo nchini Saudi Arabia

NA MASHIRIKA MUNICH, Ujerumani MSHAMBULIAJI Sadio Mane ameagana na klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani na kujiunga na Al Nassr ya...

Beldine ndiye kocha wa kike pekee KWPL

NA TOTO AREGE KOCHA wa timu ya Kenya Police Bullets FC Beldine Odemba, ndiye kocha mwanamke pekee ambaye ananoa timu ya wanawake katika...

Pinecrest Academy mabingwa wa karate kanda ya Mlima Kenya

NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya Msingi ya Pinecrest Academy ya Juja ndio mabingwa wa Ligi ya Karate ya Shule za Kanda ya Mlima...

Refa Mary Njoroge kusimamia mchuano wa Argentina dhidi ya Uswidi

NA TOTO AREGE MWAMUZI wa mechi za Shirikiso la Soka Duniani (FIFA) Mary Njoroge, atakuwa mmoja wa marefa katika mechi ya Kundi G ya...

Kenya Police Bullets FC kutaja kikosi cha msimu mpya Ijumaa

NA TOTO AREGE KENYA Police Bullets FC mnamo Ijumaa itataja kikosi cha wachezaji 26 ambao watawakilisha timu hiyo katika msimu wa 2023/24...

Dogo Valarie Nekesa ndiye mfungaji bora Divisheni 1

NA TOTO AREGE MSHAMBULIZI Valerie Nekesa ndiye Mshindi wa Kiatu cha Dhahabu msimu wa 2022/23 katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Divisheni ya...

Sasa naletewa waganga wa kienyeji, majini – Mandonga

Na MWANGI MUIRURI  BONDIA Karim Mandonga 'Mtu Kazi' aliyeangushwa kwa ngumi aliyoelekezewa shavuni na mwenzake Moses Golola wa Uganda...

Wakenya kushuhudia EPL moja kwa moja kupitia GOtv Supa Plus

ELIAS MAKORI Na JOHN ASHIHUNDU MASHABIKI wa soka nchini Kenya watapata fursa ya kushuhudia moja kwa moja mechi za Ligi Kuu ya Uingereza...

Kibonge wa Afrika Mashariki Mandonga mtukazi akung’utwa tena Nchini Tanzania na mwanabondia wa Uganda 

NA MWANGI MUIRURI WIKI moja baada ya mwanabondia Karim Mandonga ‘mtukazi’ kutandikwa na bondia wa Kenya Daniel Wanyonyi Jijini...