• Nairobi
  • Last Updated April 12th, 2024 5:55 PM

Ni rasmi Sabina Chege amevuliwa wadhifa wa Naibu Kiranja wa Wachache

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula ameidhinisha uamuzi wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya wa...

Sakaja akodolea macho mikosi iliyomwandama Sonko

NA WINNIE ONYANDO LICHA ya wandani wa Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kupata afueni, nyufa ndani ya United Democratic Alliance (UDA) na...

Mwangaza asubiri kikao cha bunge la kaunti kupata mwanga kuhusu masaibu yake

NA DAVID MUCHUI HUKU mikakati ya kumwondoa mamlakani Gavana Kawira Mwangaza wa Meru ikikaribia kutimia, kila upande unajikakamua...

Maskini Raila! Viongozi watoa sababu za kumhepa

NA RUSHDIE OUDIA WANASIASA ambao wamemwasi na kumtoroka kiongozi wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, wamejitokeza na kueleza sababu...

Bahati ‘Mtoto wa Mama’ kupambana na Sakaja ugavana Nairobi mwaka 2027

NA WINNIE ONYANDO MWANAMUZIKI Kevin Kioko almaarufu Bahati ametangaza kuwa atawania kiti cha ugavana katika Kaunti ya Nairobi mwaka...

Wito viongozi wa Mlima Kenya waungane kwa manufaa ya wenyeji na wakazi

NA LAWRENCE ONGARO VIONGOZI kutoka Mlima Kenya wameshauriwa kuungana pamoja na kuelekea njia moja. Mbunge wa Juja Bw George Koimburi...

Hatima ya Sabina Chege sasa iko mikononi mwa Spika Wetang’ula

NA RICHARD MUNGUTI MASAIBU yanayomkumba naibu kiranja wa wachache Bi Sabina Chege yamezidi kumkaba baada ya Mahakama ya Rufaa kukataa...

Wabunge wa Azimio kususia vikao hadi Sabina avuliwe wadhifa wa naibu kiranja wa wachache

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wa upinzani sasa wametishia kuvuruga shughuli za bunge juma lijalo ikiwa hatua ya mrengo wa Azimio La Umoja-One...

Rais Ruto anaendeleza udikteta, mbunge Omar Mwinyi adai

NA CHARLES WASONGA MBUNGE wa Changamwe Omar Mwinyi ameibua madai kuwa Rais William Ruto anaelekea kuwa dikteta mbaya zaidi. Bw Mwinyi...

Kabogo: Niko tayari kuongoza wenyeji wa Mlima Kenya na kuwafungua macho

NA WANDERI KAMAU ALIYEKUWA gavana wa Kiambu, Bw William Kabogo, Ijumaa, Oktoba 14, 2023, alisema kwamba yuko tayari kuliongoza na...

Mlima Kenya unapigwa kiboko cha kisasi chini ya maji?

NA WANDERI KAMAU ENEO la Mlima Kenya linaonekana kupigwa kiboko cha usaliti chini ya maji, kutokana na urafiki mpya wa kisiasa unaonukia...

Sakaja avuruga kadi za Gachagua 2032

NA WANDERI KAMAU GAVANA wa Nairobi, Bw Johnson Sakaja, amesema kwamba atawania urais 2032, baada ya kumaliza mihula yake miwili kama...