2019: Kamatakamata ya kila Ijumaa ilitesa mafisadi

Na RICHARD MUNGUTI Mwaka huu hautasahaulika hasa miongoni mwa maafisa wengi wakuu serikalini wakiwemo mawaziri, makatibu wa wizara...

2019: Sarakasi bungeni hazikukosa hata Akothee na minisketi yake

Na CHARLES WASONGA VIOJA na sakarasi hazikukosekana katika majengo ya bunge na kuwaacha wengi vinywa wazi kwa mshangao mkuu. Mnamo...

2019: Wabunge 13 ambao wamekuwa mabubu bungeni tangu waapishwe

Na CHARLES WASONGA MDAHALO mkali uliibuka mwaka huu kuhusu suala zima la utathmini wa utendakazi wa wabunge na maseneta baada ya kubaini...

Watoto 20 wazaliwa Nakuru mkesha wa Mwaka Mpya

RICHARD MAOSI NA JOSEPH OPENDA JUMLA ya watoto 20 walizaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2019 katika Hospitali ya Rufaa ya...

Wakenya waliteseka 2018, watarajia hali bora 2019

NA LILYS NJERU JAPO mwaka uliopita wa 2018 ulikuwa na changomoto chungu nzima kwa wananchi, Wakenya wengi mwaka huu wa 2019 wameomba...

Mbwembwe za Mwaka Mpya 2019

Na WAANDISHI WETU MAMILIONI wa Wakenya kote nchini usiku wa kuamkia Jumanne waliungana na wenzao ulimwenguni kuukaribisha mwaka mpya wa...

2019: Ukosefu wa usiri wa data mitandaoni utazidi kuwaumiza Wakenya mwaka huu

Na FAUSTINE NGILA TEKNOLOJIA ya dijitali mwaka uliopita ilituwezesha kupata taarifa tunazotaka mitandaoni kwa urahisi zaidi ila bila...

MWAKA MPYA 2019: Wito wa amani na umoja Kenya

BENSON MATHEKA na BRIAN OCHARO WAKENYA wamehimizwa kuishi kwa umoja na amani mwaka huu ili nchi ipate ustawi wa kiuchumi. Viongozi wa...

Atakayerusha fataki kwa zaidi ya dakika 5 atakuwa taabani, wakazi Mombasa waonywa

EUNICE MURATHE Na WINNIE ATIENO MBWEMBWE za kusheherekea Mwaka Mpya zitatatizika baada ya idara ya usalama katika Kaunti ya Mombasa...

2019 utakuwa mwaka wa njaa – Ripoti

KEVIN J KELLEY na BARNABAS BII KENYA huenda ikakabiliwa na baa la njaa mwaka 2019 kutokana na mavuno duni, haya ni kwa mujibu wa utabiri...

Mudavadi ashuku huenda sensa ya 2019 ikavurugwa

Na RUSHDIE OUDIA SHUGHULI ya kuhesabu idadi ya watu nchini mwaka 2019 inaweza kuvurugwa iwapo mikakati madhubuti haitawekwa na...