Korti yamfunga nyanya jambazi miaka 35 jela

Na BENSON MATHEKA NYANYA wa miaka 62 ambaye amekuwa akishiriki ujambazi kwa miaka mingi amefungwa jela miaka 35 baada ya kupatikana na...

BAO LA KETE: Mchezo unaoenziwa na wazee wa Lamu

NA KALUME KAZUNGU BAO la kete ni mchezo ambao huchukuliwa na wengi kama njia mojawapo ya kupitisha muda hasa baada ya shughuli za...