Wanaomezea ‘tosha’ ya Uhuru

Na MWANGI MUIRURI HATUA ya mawaziri kadhaa kujitokeza wazi kutaka mmoja wao awe rais ifikapo mwaka wa 2022, imeongeza idadi ya kambi...

Mutua, Kibwana sasa waunga BBI

Na PIUS MAUNDU MAGAVANA Dkt Alfred Mutua (Machakos) na Profesa Kivutha Kibwana (Makueni) Jumatatu walionekana kubadili msimamo na...

Mutua alia Kalonzo ameteka BBI Ukambani

Na Pius Maundu GAVANA wa Machakos Dkt Alfred Mutua amemlaumu kinara wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, kwa kuteka mchakato wa kurekebisha...

Dkt Mutua awataka wanasiasa kuheshimu familia za waliofiwa

Na SAMMY WAWERU Gavana wa Machakos Dkt Alfred Mutua amewakashifu vikali viongozi na wanasiasa wanaoendesha siasa katika hafla za...

Ubinafsi unavyowasukuma wanasiasa kumezea mate Ikulu huku Wakenya wakiteseka

Na MOHAMED AHMED WANASIASA wanaomezea mate kiti cha urais nchini wameanza kampeni za mapema bila kujali mahangaiko ambayo raia wanapitia...

Huyu Mutua ni twiga, amejitokeza ChapChap!

Na BENSON MATHEKA KUJITOSA rasmi kwa Gavana wa Machakos Alfred Mutua katika kinyang’anyiro cha urais kwenye uchaguzi mkuu ujao ni...

Baadhi ya vifaa vya kujikinga corona vina dosari – Kagwe

Na BENSON MATHEKA WAZIRI wa Afya, Mutahi Kagwe, amekiri kwamba baadhi ya vifaa vya kukinga wahudumu wa afya dhidi ya virusi vya corona...

Mutua sasa atishia kumwaga mtama kuhusu ghasia za 2007

Na WANDERI KAMAU GAVANA Alfred Mutua wa Machakos amedai kuna mengi anayofahamu kuhusu matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi tata wa...

JAMVI: Mutua alitishwa na Ruto au ni siasa tu?

Na BENSON MATHEKA Madai ya Gavana wa Machakos Dkt Alfred Mutua kwamba alitishiwa maisha na Naibu Rais William Ruto na washirika wake...

Ajabu ya Mutua kumshtaki Ruto kwa Raila

Na LEONARD ONYANGO GAVANA wa Machakos, Dkt Alfred Mutua, amefichua jinsi alivyomshtaki Naibu Rais kwa Kiongozi wa ODM Raila Odinga,...

JAMVI: Gavana Mutua amnyemelea Raila kujenga umaarufu akilenga Urais

Na BENSON MATHEKA Gavana wa Machakos na kiongozi wa chama cha Maendeleo Chap Chap, Dkt Alfred Mutua, ameamua kumnyemelea kiongozi wa...

Sonko avuruga maji ngome ya Mutua

Na STEPHEN MUTHINI KULITOKEA kioja mjini Machakos Alhamisi asubuhi wakati Gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko alipoenda katika kituo cha...