Waiguru hatarini kupoteza nyumba

NA RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Kirinyaga Bi Anne Waiguru anakabiliwa na tisho ya kupoteza nyumba yake ya kifahari ya thamani ya Sh200...

Waiguru, Ngirici wazidi kuonyeshana ubabe

Na WANDERI KAMAU MVUTANO wa kisiasa kati ya Gavana Anne Waiguru wa Kirinyaga na Mwakilishi wa Wanawake, Bi Wangui Ngirichi, unaendelea...

EACC yaambia Waiguru ‘tuliza boli’

Na KNA Tume ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC), imepuuza madai ya Gavana Anne Waiguru wa Kirinyaga kwamba uchunguzi inaofanya...

Kunihusisha na ufisadi kutafeli kwani Wakenya si wajinga- Waiguru

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ametaja ripoti zinazosema kuwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC)...

Waiguru asifu Ajenda Kuu Nne za Rais Kenyatta akisema zitatimia

Na KIPKOECH CHEPKWONY GAVANA wa Kirinyaga Ann Waiguru anaamini serikali itatimiza Ajenda Kuu Nne za maendeleo kabla ya kukamilika kwa...

Waiguru amtaka rais azungumzie mrithi wake

Na GEORGE MUNENE GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru anatarajia Rais Uhuru Kenyatta kutoa mwelekeo wa kisiasa kwa Wakenya wakati wa sherehe...

Sherehe zatuliza vita vya ubabe Kirinyaga

KENNEDY KIMANTHI na GEORGE MUNENE SAWA na kaunti nyingine, Kaunti ya Kirinyaga inayoandaa sherehe za Mashujaa Dei mwaka huu 2021,...

Waiguru apata marafiki wapya baada ya kukumbatia Naibu Rais

Na BENSON MATHEKA GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru amepata marafiki wapya wa kisiasa baada ya kutangaza nia yake ya kujiunga na chama...

Gavana Waiguru, Kibicho wazika uhasama

Na George Munene SHEREHE za kuadhimisha Sikukuu ya Mashujaa mwaka huu, zitakazoandaliwa katika Kaunti ya Kirinyaga, zimefanikiwa...

Vilio vya Muturi, Waiguru vyazua maswali mengi

Na BENSON MATHEKA MASWALI yameibuka kuhusu madai ya Spika wa Bunge la Taifa, Bw Justin Muturi na Gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru...

Waiguru adai ni vigumu kuchaguliwa kupitia Jubilee

Na GEORGE MUNENE GAVANA wa Kirinyaga, Anne Waiguru kwa mara ya kwanza amekiri hadharani kuwa, atakuwa na kibarua kigumu kutetea kiti...

Hatujaunga mkono Raila wala Ruto – Viongozi Mlima Kenya

Na JAMES MURIMI BAADHI ya viongozi wa Jubilee kutoka eneo la Mlima Kenya wamekanusha kuwa wanaunga mkono azma ya urais wa kinara wa ODM...