Waiguru awataka wakazi wa Kirinyaga wachukue tahadhari maambukizi ya Covid-19 yakipanda

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ametahadharisha wakazi kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona katika kaunti...

Waiguru ahisi huu ni wakati mwafaka wa Jubilee kuzinduka

Na SAMMY WAWERU MGOMBEA wa United Democratic Alliance (UDA) Bw John Njuguna Wanjiku ndiye aliibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa kiti...

Siri kali ya Joho, Waiguru

Na WAANDISHI WETU MKUTANO baina ya Gavana wa Mombasa Hassan Joho na mwenzake wa Kirinyaga, Bi Anne Waiguru, umeibua mdahalo miongoni mwa...

Hatua ya Waiguru kutimua madaktari yamtatiza

GEORGE MUNENE na IRENE MUGO Uamuzi wa Gavana Anne Waiguru wa Kirinyaga kuwafuta kazi madaktari na wauguzi mnamo 2019 umerudi kuathiri...

Waiguru hatarini kufungiwa nyumba

Na SAM KIPLAGAT GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru anakabiliwa na hatari ya kufurushwa katika makazi yake ya kifahari mtaani Kitisuru...

Waiguru asambazia wasichana sodo

Na George Munene KAUNTI ya Kirinyaga Ijumaa alizindua mpango wa kusambaza sodo kwa wasichana wa shule za eneo hilo. Mpango huo...

Waiguru sasa adai Kibicho ndiye chanzo cha masaibu yake

Na WANDERI KAMAU MZOZO wa kisiasa katika Kaunti ya Kirinyaga jana ulizidi kutokota, baada ya Gavana Anne Waiguru kudai kuwa Katibu...

Pigo kwa Waiguru MCAs wakikataa kuidhinisha bajeti

Na GEORGE MUNENE GAVANA wa Kirinyaga, Bi Anne Waiguru, alipata pigo Jumatano, baada ya madiwani anaozozana nao kukataa kuidhinisha...

BAJETI: Waiguru akatwa miguu na MCAs

Na GEORGE MUNENE MADIWANI wa Kirinyaga sasa wameamua kutumia mamlaka yao kumwadhibu Gavana Anne Waiguru kwa kumpunguzia mgao wa fedha...

Waiguru ‘hajapona’

Na CHARLES WASONGA INGAWA Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru ameipongeza Seneti kwa kutupilia mbali hoja ya kumwondoa afisini, hayuko...

Sanitaiza ya BBI yang’arisha Waiguru

Na BENSON MATHEKA MSIMAMO wa Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru kuhusu handisheki na Mpango wa Maridhiano (BBI), umetajwa kama uliomwokoa...

Waiguru adai msimamo wake kuunga BBI ndiyo sababu ya ‘masaibu’

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru sasa anadai kuwa anaandamwa kwa sababu ya kuwa mkeretetwa sugu wa Mpango wa...