Arsenal wacharaza Crystal Palace ugenini na kupaa hadi nafasi ya tisa kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Roy Hodgson amesema kibarua cha kunoa Crystal Palace kimekuwa sawa na “hadithi au safari ya kuridhisha” licha ya...

Arsenal pazuri kusonga mbele kwenye Europa League baada ya kucharaza Olympiakos 3-1 katika mkondo wa kwanza wa 16-bora

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta ametaka wanasoka wake wa Arsenal kutokuwa “maadui wao wenyewe” baada ya masihara ya mabeki kuruhusu...

Arsenal na Man-United nguvu sawa ligini

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walipoteza fursa ya kuendeleza presha kwa wapinzani wao wakuu kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya...

Arsenal wapepeta Southampton na kutinga ndani ya orodha ya 8-bora EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema kwamba ushindi wa 3-1 uliosajiliwa na vijana wake wa Arsenal dhidi ya Southampton mnamo Jumanne...

Arsenal watangaza rasmi ufufuo wao ligini kwa kupokeza West Brom kichapo kinono cha 4-0 ugenini

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendeleza ufufuo wao kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuwapokeza West Bromwich Albion kichapo...

Arsenal yatuma Kolasinac kuchezea Schalke kwa mkopo huku Arteta akilenga kutema wanasoka zaidi kambini mwa Arsenal

Na MASHIRIKA BEKI Sead Kolasinac wa Arsenal amejiunga na Schalke 04 ya Ujerumani kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu wa 2020-21 huku...

Everton wapiga Arsenal na kuendeleza masaibu ya kocha Mikel Arteta

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema Arsenal “wako katika vita vikali” na wachezaji wake “kwa sasa wanaumiza zaidi” baada ya...

Arsenal waponea chupuchupu kulazwa na Leeds United baada ya Pepe kuonyeshwa kadi nyekundu

Na MASHIRIKA FOWADI wa Nicolas Pepe alionyeshwa kadi nyekundu katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) iliyoshuhudia waajiri wake...

Liverpool kuvaana na Arsenal huku Spurs wakionana na Chelsea raundi ya 16-bora ya Carabao Cup

Na MASHIRIKA MIAMBA wa soka ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Liverpool, watakutana sasa na Arsenal kwenye raundi ya 16-bora ya kipute cha...

Aubameyang kusaidia Arsenal kufuma mabao hadi 2023

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI na nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, 31, ametia saini mkataba mpya wa miaka mitatu uwanjani...

Arsenal wazamisha chombo cha Fulham katika EPL

Na MASHIRIKA SAJILI wapya Gabriel Magalhaes na Willian Borges waliwapa mashabiki na waajiri wao Arsenal sababu za kutabasamu na...

Giroud asaidia Ufaransa kupiga Croatia 4-2 na kunusia rekodi ya Thierry Henry

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Olivier Giroud alifunga bao lake la 40 kimataifa na kusaidia Ufaransa kuwapepeta Croatia 4-2 katika...