Wataka fidia iwepo viumbebahari wakiwajeruhi

Na KALUME KAZUNGU WATU waliojeruhiwa na wanyama hatari wa baharini katika Kaunti ya Lamu, wamelalama kutelekezwa na serikali hasa kwa...

Huzuni pacha wakifa baharini

Na SIAGO CECE FAMILIA katika eneo la Gasi, Kaunti ya Kwale imegubikwa na simanzi baada ya watoto wao pacha kupatikana wamefariki...

Mwanamke afariki baada ya kutumbukia baharini

Na MOHAMED AHMED MWANAMKE alifariki Jumatano jijini Mombasa baada ya gari alilokuwa anaendesha kutumbukia baharini eneo la...

Fundi wa majahazi anayeunda mashua na mitumbwi

Na DIANA MUTHEU NI mwendo wa saa saba mchana na wavuvi wamekwisha kuondoka kutoka katika eneo la uvuvi (BMU) la Ngare lililo katika mkondo...

Jeshi la wanamaji lilikuwa wapi?

BENSON MATHEKA, MOHAMED AHMED na ANTHONY KITIMO Wakenya wa matabaka mbalimbali waliendelea kuelezea ghadhabu yao kuhusiana na mkasa wa...

Wavuvi Pwani walia fuo za bahari kunyakuliwa

Na SAMUEL BAYA WAVUVI katika ukanda wa Pwani wamepoteza ekari nyingi za ardhi walizokuwa wakitumia katika ufuo wa bahari kwa wanyakuzi...

Wavuvi waonywa kuhusu mawimbi na upepo mkali baharini

Na COLLINS OMULO IDARA ya Utabiri wa Hali ya Hewa imetoa tahadhari ya upepo mkali na mawimbi katika Bahari Hindi. Idara ilionya...

Ujerumani kusafishia wakazi maji ya bahari

NA KALUME KAZUNGU WAFADHILI kutoka nchini Ujerumani wamezindua mradi wa kusafisha maji ya chumvi kutoka Bahari Hindi na kuyageuza safi...

Nyumba za wakazi 3,000 hatarini kusombwa na Bahari Hindi

Na Kalume Kazungu WAKAZI zaidi ya 3000 wa miji ya Mkokoni na Kizingitini, Kaunti Ndogo ya Lamu Mashariki wanaishi kwa hofu ya nyumba zao...

LIKIZO: Wito watoto wanaoenda kuogelea baharini wasajiliwe

Na KALUME KAZUNGU WITO umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Lamu kuunda sheria itakayohakikisha watoto wote wanaozuru fuo za bahari eneo...

VASCO DA GAMA: Kitega uchumi cha Malindi kilicho hatarini kuangamizwa na wavuvi

 NA RICHARD MAOSI NI adhuhuri na niko hapa mjini Malindi na leo nimeamua kuzuru maeneo ya ufuo wa Bahari Hindi. Natembea kwa mguu...

Boti mpya la kushughulikia mikasa baharini lazinduliwa

NA KALUME KAZUNGU Kaunti ya Lamu imezindua boti maalum litakaloshughulikia kuokoa wasafiri wakati ajali za boti na mashua zinapotokea...