Watatu wafariki baada ya malori mawili kugongana na kushika moto

Na PIUS MAUNDU WATU watatu waliaga dunia Ijumaa adhuhuri baada ya magari walimokuwa wakisafiria kugongana na kuwaka moto karibu na mji...