Wanaoteremsha maski kwa kidevu washtakiwe, asema gavana

Na SAMMY WAWERU Ni jambo la kushangaza kuona mtu akiwa na maski na kuining’iniza chini ya kidevu badala ya kuivalia...

AFYA: Barakoa chafu zinavyosambaza corona vijijini

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika mitandao ya...

Wazee wavalie barakoa aina ya N95, WHO yashauri

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limependekeza kuwa wazee wenye umri wa miaka 60 kwenda juu na watu...

SHINA LA UHAI: Corona si hatari tu kwa afya bali pia mazingira

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa/maski zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika...

Walimu wakuu wawapa wanafunzi barakoa

NA WAWERU WAIRIMU Walimu wakuu wa shule za upili katika Kaunti ya Isiolo wameanza kuwasambazia barakoa wanafunzi nyumbani kufuatia...

Wasio na uwezo kusikia kutumia maski spesheli kusoma midomo ya wazungumzaji

Na MISHI GONGO WALEMAVU wasio na uwezo wa kusikia katika Kaunti ya Mombasa wamepokea maski spesheli kutoka kwa Muungano wa Watu...

Wanafunzi wa vyuo vya ufundi Garissa waanzisha mradi wa utengenezaji barakoa

Na FARHIYA HUSSEIN WANAFUNZI katika vyuo vya ufundi Kaunti ya Garissa wameanzisha mpango wa utengenezaji barakoa kusaidia katika...

Polisi wampiga risasi babake seneta wa Lamu kwa kutovaa barakoa

JUMA NAMLOLA na KALUME KAZUNGU POLISI katika Kaunti ya Laikipia wanalaumiwa kwa kumpiga risasi babake Seneta wa Kaunti ya Lamu, Anwar...

Vyuo vya kiufundi Kiambu kuendelea kushona barakoa

Na LAWRENCE ONGARO VYUO vya kiufundi katika Kaunti ya Kiambu vitaendelea kushona barakoa kwa wingi ili kutosheleza mahitaji ya...

Wasiovalia barakoa wamulikwa na maafisa baadhi ya maeneo Nairobi

Na SAMMY WAWERU MAAFISA wa polisi katika baadhi ya mitaa Nairobi walionekana 'kuwamulika' wakazi walioonekana bila barakoa. Kisa cha...

Kizimbani kwa kuiba maski za Sh950,000

Na Richard Munguti Wafanyabiashara wawili walishtakiwa Ijumaa kwa kumlaghai mfanyabiashara maski zipatao 252 zenye thamani ya...

Wizara ya Afya yafundisha Wakenya jinsi ya kuvalia barakoa

Na GEOFFREY ANENE WIZARA ya Afya imeonekana kugundua Wakenya wengi hawajui kuvalia barakoa baada ya kuanza kuwahamasisha jinsi ya...