Hisia mseto Wakenya wakiambiwa sasa barakoa si lazima

NA MWANGI MUIRURI HATUA ya Waziri wa Afya Bw Mutahi Kagwe, Ijumaa ya kuondoa ulazima wa kuvaa barakoa imetajwa na wengi kama mwisho wa...

Chokoraa 15 washtakiwa kwa kutovalia barakoa

Na TITUS OMINDE VIJANA 15 wa kurandaranda mjini Eldoret, walikiri mashtaka ya kukosa kuvalia barakoa. Vijana hao walipatikana katika...

Kamishna aagiza wauzaji wa barakoa feki wanaswe

Na TOM MATOKE MAAFISA wa Usalama katika Kaunti ya Nandi wameagizwa kukamata wafanyabiashara wanaouza barakoa feki. Kamishna wa Kaunti...

Mwanamke afa kwa ‘hofu ya kukamatwa na polisi’ Kilifi

Na MAUREEN ONGALA MWANAMKE katika kijiji cha Kwa Mwango, Kaunti ya Kilifi amefariki kwa kile wakazi wametaja kuwa mshtuko uliotokana na...

Kitendawili cha barakoa

NA PAULINE ONGAJI WIKI moja baada ya shule kufunguliwa – baada ya wanafunzi kukaa nyumbani kwa muda wa miezi kumi kufuatia janga la...

Kenya sasa yapokea barakoa zinazouzwa moja kwa Sh17,000

Na BRIAN AMBANI WAHUDUMU wa afya watakuwa wa miongoni mwa watu wa kwanza humu nchini kutumia barakoa zilizotengenezwa kwa teknolojia ya...

Kampeni yaja magavana kusisitizia raia umuhimu wa barakoa

Na CHARLES WASONGA BARAZA la Magavana (CoG) linapanga kuzindua kampeni ya kuwahimiza wananchi kuvalia barakoa nyakati zote kabla ya...

Ngilu kusambaza barakoa bila malipo kwa wanafunzi 72,000

Na KITAVI MUTUA WANAFUNZI 72,000 katika Kaunti ya Kitui watanufaika na barakoa za bure kutoka kwa serikali ya kaunti. Gavana Charity...

Wakazi Nyali wagomea barakoa wakidai viongozi ni wafisadi

Na DIANA MUTHEU BAADHI ya wakazi katika eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa wamesusia kuvalia barakoa wakidai kuwa viongozi wa kisiasa...

Wasiwasi barakoa zilizotumika zikiendelea kutupwa ovyo

Na SAMMY WAWERU Serikali imeeleza wasiwasi wake kuhusu utupaji kiholela maski zilizotumika ikisema utepetevu huo unatia watu katika...

Wanaotupa maski kiholela waonywa

Na SAMMY WAWERU Maski zilizotumika na kutupwa kiholela na kutapakaa kwenye majaa ya taka huenda zikaweka watu katika hatari ya...

Barakoa na sanitaiza feki zafurika sokoni

JAMES MURIMI Na BENSON MATHEKA Huku idadi ya wahudumu wa afya wanaoambukizwa virusi vya corona ikiongezeka, imebainika kuwa serikali...