Bayern waingia robo-fainali za UEFA baada ya kurarua RB Salzburg bila huruma

Na MASHIRIKA ROBERT Lewandowski alifunga mabao matatu chini ya dakika 23 za kipindi cha kwanza katika ushindi wa 7-1 uliosajiliwa na...

Bayern Munich wasubiri hadi dakika za mwisho kusambaratisha Benfica kwenye gozi la UEFA

Na MASHIRIKA BAYERN Munich walifunga mabao manne katika dakika 20 za mwisho wa kipindi cha pili na kupepeta Benfica 4-0 katika mechi ya...

Bayern Munich wapigwa ligini kwa mara kwanza katika uwanja wa nyumbani baada ya mechi 30

Na MASHIRIKA EINTRACHT Frankfurt walipokeza Bayern Munich kichapo cha kwanza baada ya mechi 30 za kutoshindwa kwenye kampeni za Ligi Kuu...

Bayern Munich watia kapuni taji la Bundesliga kwa mara ya tisa mfululizo

Na MASHIRIKA BAYERN Munich walisherehekea kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kwa msimu wa tisa mfululizo kwa...

UCL: Bayern na PSG kukabana tena

PARIS, Ufaransa Huku wakikabiliwa na kibarua kigumu cha kubadilisha kichapo cha 3-2 kutoka kwa Paris Saint-Germain (PSG) katika pambano...

Kocha Flick ahimiza Bayern Munich watumie mechi ya leo ya UEFA dhidi ya Lazio kama jukwaa la kujinyanyua

Na MASHIRIKA KOCHA wa Bayern Munich Hansi Flick amewataka masogora wake kuitandika Lazio leo Jumanne kwenye mechi ya Klabu Bingwa Ulaya...

Bayern Munich wajinasia maarifa ya Upamecano baada ya kuwazidi nguvu miamba wa soka ya Uingereza

Na MASHIRIKA BAYERN Munich wamewapiku Manchester United, Chelsea, Arsenal na Liverpool kwenye vita vya kumsajili beki mahiri wa RB...

Bayern Munich wakomoa Tigres UANL na kutwaa Kombe la Dunia

Na MASHIRIKA BEKI Benjamin Pavard, 24, alifungia Bayern Munich bao la pekee lililosaidia Bayern Munich ya Ujerumani kupiga Tigres UANL...

Bayern Munich yadengua Al Ahly na kufuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Tigres UANL ya Mexico

Na MASHIRIKA ROBERT Lewandowski alifunga mabao mawili dhidi ya Al Ahly ya Misri na kusaidia Bayern Munich kufuzu kwa fainali ya Kombe la...

Bayern waponda Schalke na kufungua mwanya wa alama saba kileleni mwa jedwali la Bundesliga

Na MASHIRIKA BAYERN Munich walifungua mwanya wa alama saba kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) mnamo Jumapili...

Borussia Monchengladbach watoka nyuma na kuzamisha chombo cha Bayern Munich ligini

Na MASHIRIKA VIONGOZI wa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Bayern Munich walipoteza uongozi wao wa 2-0 dhidi ya Borussia...

Mabingwa watetezi Bayern Munich wafuzu kwa hatua ya 16-bora ya UEFA bila kushindwa kundini

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), Bayern Munich, walikamilisha kampeni zao za makundi msimu huu wa 2020-21 kwa...