Bayern Munich yapiga PSG 1-0 na kutwaa ufalme wa UEFA

Na CHRIS ADUNGO BAYERN Munich walilemea Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa kwa bao 1-0 kwenye fainali ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA)...

Bayern Munich imetuaibisha, kutudhalilisha na kutusambaratisha – Barcelona

Na CHRIS ADUNGO BEKI Gerard Pique, 33, amesema kwamba mabadiliko makubwa muhimu yanahitaji kufanyika kambini mwa Barcelona iwapo miamba...

HAWANA BAHATI: Barcelona na Bayern Munich kukabiliana katika robo fainali

Na MASHIRIKA BARCELONA, UHISPANIA OLE wao! Mmoja kati ya majabali wa soka duniani; Barcelona na Bayern Munich, hatashiriki nusu...

Bayern Munich wapepeta Bayer Leverkusen 4-2 kujizolea taji la 20 la German Cup

Na CHRIS ADUNGO ROBERT Lewandowski alihakikisha kwamba anafunga zaidi ya mabao 50 msimu huu kwa kucheka na nyavu za Bayer Leverkusen...

Bayern Munich wahitaji alama tatu pekee kutawazwa mabingwa Bundesliga

Na CHRIS ADUNGO BAYERN Munich wanahitaji sasa alama tatu pekee kutokana na jumla ya mechi tatu zijazo ili kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu...

Bayern Munich waingia fainali ya German Cup

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA watetezi Bayern Munich walipiga Eintracht Frankfurt 2-1 na kufuzu kwa fainali ya German Cup ambayo kwa sasa...

Lewandowski aiongoza Bayern Munich kuizamisha Fortuna Dusseldorf

Na CHRIS ADUNGO ROBERT Lewandowski alifunga mabao mawili na kusaidia Bayern Munich kusajili ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Fortuna...

Bayern Munich wapiga wenyeji Borussia Dortmund 1-0

Na CHRIS ADUNGO BAYERN Munich walianza kunusia ubingwa wa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kwa mara ya nane mfululizo msimu huu baada...

GOZI LA VIDUME: Borussia Dortmund yaalika Bayern Munich

Na MASHIRIKA MUNICH, Ujerumani VITA vya ubabe kati ya chipukizi Erling Braut Haaland na kigogo Robert Lewandowski vitatarajiwa...

Bayern wazidi kufuka moto Bundesliga

Na CHRIS ADUNGO BAYERN Munich watashuka dimbani kuvaana na Borussia Dortmund katika gozi la Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) mnamo...

Golikipa na nahodha wa Bayern Munich atia saini mkataba mpya wa miaka mitatu

Na CHRIS ADUNGO KIPA Manuel Neuer wa Bayern Munich amerefusha mkataba wake na kikosi hicho cha Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) kwa...

MIA SAN MIA: Bayern wabomoa ukuta wa Union Berlin

CHRIS ADUNGO na MASHIRIKA BAYERN Munich ambao ni viongozi wa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) wamerejea katika kipute hicho kwa matao...