Dorcas Dee Jeruto mwenye umri wa miaka 20 ni mwigizaji wa filamu kutoka Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusoma, kuogelea na kupiga picha....
Ruth Chumba mwenye umri wa miaka 21 ni mwigizaji shupavu wa filamu za kizazi kipya kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusoma na...
Yvonne Mirera 22, ni mzaliwa wa Kakamega. Uraibu wake ni kujumuika na marafiki na kucheza soka. Picha/Richard Maosi
Becky Makaka mwenye umri wa miaka 21, ndiye anatupambia wavuti letu leo. Yeye ni mkazi wa eneo la Kenlands kaunti ya Nakuru. Mbali na kuwa...
Najib Dollow ni mzaliwa wa kaunti ya Nakuru kwa sasa amehitimu miaka 28.Yeye ni mfanyibiashara na mwanafasheni. Uraibu wake ni kutazama...
Wendy Gakii mwenye umri wa miaka 27 ni mzaliwa wa Chuka kaunti ya Meru. Anapenda kusafiri na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi
Faith Sonoi, 24, ni mkazi wa mtaa wa Shabbab kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kucheza magongo na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi
Winnie Soyo, 25, ni mzaliwa wa kaunti ya Kericho. Uraibu wake ni kuzuru mbuga za wanyama na kukutana na marafiki wapya. Picha/Richard Maosi
Hannah Koi Mark, 22,ni mwenyeji wa kaunti ya Taita Taveta, yeye ni mlimwende wa mitindo ya kiasili na mtafiti wa fasheni. Uraibu wake ni...
Hanna Njeri mwenye umri wa 23 ni mfanyibiashara kutoka kaunti ya Nakuru. Mbali na kujihusisha na ulimwende anapenda kusakata densi na...
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...
As Halloween draws near, In celebration of the popular cult...
Join us for a vibrant celebration of the new urban sound -...
The launch of a monthly women in business and creatives...