RIZIKI: Utamu wa kuuza miwa

Na SAMMY WAWERU BARABARA kuu ya Thika Superhighway, inayounganisha ni yenye shughuli chungu nzima kila sekunde na dakika katika usafiri...

Hali ngumu wanayopitia baadhi ya wauzaji wa nguo

Na SAMMY WAWERU BI Peninah Wairimu anauza nguo kwa muda wa zaidi ya miaka saba sasa. Anasema aliamua kufanya biashara hii baada ya...

Vitisho vya Jaguar vyaitia TZ tumbo joto

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa bunge la Tanzania Job Ndugai ameitaka serikali ya nchini humo kutoa taarifa kuhusu usalama wa Watanzania...

Alianza kwa kuuza chupi lakini sasa ni mmiliki wa kampuni

NA MWANGI MUIRURI MWAKA wa 2003, Bi Wamucii Kinyari alikuwa mchuuzi wa soksi na chupi za wanaume katika jiji la Nairobi, biashara...

MIMICA: Mshirika muhimu zaidi kwa Afrika ni bara Uropa

Na NEVEN MIMICA UPEPO wa mabadiliko unavuma barani Afrika, kuanzia kwenye mikataba ya kihistoria ya amani, kikomo cha tawala za...

UBABE: Google yaizima Huawei kutumia huduma za Android na Google Play Store

PETER MBURU na BERNARDINE MUTANU UHASAMA wa kibiashara baina ya Amerika na Uchina kuhusu kampuni ya kutengeneza simu ya Huawei unazidi...

VIWANDA NAKURU: Kampuni zilivyofungwa kwa kulemewa na madeni

NA RICHARD MAOSI MJI wa Nakuru unapojizatiti kupata hadhi ya kuwa jiji, vijana wengi bado hawana jambo la kujivunia kwa sababu ya...

Biashara ya njugu karanga na korosho ina faida

Na MWANGI MUIRURI HUKU vijana wengi hapa nchini wakilia kuwa hakuna nafasi za kazi katika uchumi, kuwa serikali ya Rais Uhuru Kenyatta...

Wafanyabiashara waililia serikali iwajengee soko la kisasa

NA RICHARD MAOSI Wafanyibiashara katika eneo la Londiani kuelekea Muhoroni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakiomba serikali ya kaunti na...

BIASHARA: Si haki serikali kuzuilia bidhaa za wafanyabiashara wadogo bandarini -Wabunge

Na CHARLES WASONGA WABUNGE kutoka eneo la Mlima Kenya Jumatano waliitaka serikali kuingilia kati ili bidhaa za wafanyabiashara wa humu...

Wafanyabiashara kutoka Uchina wazimwe kabisa – Wabunge

Na CHARLES WASONGA KUNDI la wabunge kutoka Mlima Kenya wamezitaka serikali za kaunti zisitoe leseni za kibiashara rejareja kwa wageni...

OBARA: Kaunti ya Mombasa inakosea kupuuza wawekezaji wadogo

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa kwa miezi kadhaa sasa imekuwa ikijivunia jinsi utalii unavyofufuliwa katika kaunti...