Wakala akana kuiba Sh11 milioni za bima

Na RICHARD MUNGUTI WAKALA wa kampuni ya kuuza bima alifikishwa kortini Jumanne kwa wizi wa Sh11.8milioni alizopokea kwa niaba ya kampuni...

Kila familia kulipa Sh6,000 katika mageuzi mapya NHIF

Na Otiato Guguyu KILA familia italazimika kulipa ada ya lazima ya Sh500 kwa Mpango wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) huku serikali ikiandaa...

Wakazi Kisauni wahimizwa wakate bima ya afya

Na WINNIE ATIENO WAKAZI wa Kisauni wamehimizwa kuchukua Hazina ya Bima ya Kitaifa ya Matibabu (NHIF) iwagharimie matibabu...

‘Wahudumu wa afya Mombasa hawana bima ya afya’

Na WINNIE ATIENO WAHUDUMU wa afya katika Kaunti ya Mombasa wanafanya kazi bila bima ya afya wakiendelea kuhatarisha maisha yao...

Bima ya afya bado ghali kwa Wakenya, lakini suluhu zipo

Na SAMMY WAWERU Kulingana na Wizara ya Afya takriban asilimia 13 ya Wakenya hawana uwezo kupata huduma za afya kwa...

Madaktari washinikiza kupewa bima ya afya

JUMA NAMLOLA na WINNIE ATIENO MADAKTARI katika hospitali za umma Kaunti ya Mombasa, sasa wanataka serikali iwape bima ya afya huku visa...

Binti apiga hatua katika biashara ya bima licha ya changamoto

PAULINE ONGAJI Sio wengi wanaweza kumudu huduma za bima hapa nchini. Na hii ni mojawapo ya sababu zilizomsukuma Bi Wanjiru Githiomi, 45,...

Wanafunzi wote kunufaika na bima ya afya

Na FAITH NYAMAI WANAFUNZI wote milioni 10 nchini watapokea bima ya serikali ya afya mwaka huu bila kujali iwapo maelezo yao...

Tuelezwe Sh636m za bima kwa afya ya wakongwe zilivyotumika – Wabunge

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wameitaka Wizara ya Afya na Hazina ya Bima ya Kitaifa ya Matibabu (NHIF) kutoa maelezo kamili kuhusu namna...

BIMA: Wamiliki wa 14 Riverside kuvuna fidia ya Sh400m

Na BERNARDINE MUTANU WAMILIKI wa jengo la 14 Riverside mtaani Westlands, Nairobi wanatarajia kulipwa Sh400 milioni kama bima kutokana na...

Itikadi zazuia wengi kuchukua bima ya mazishi wakiwa hai

Na MWANDISHI WETU LICHA ya kauli kuwa kuzaliwa ni bahati kufa ni lazima, jamii nyingi barani Afrika bado hazitaki kujadili wazi...

Wakenya washauriwa kuchukua bima ya mazishi

Na BERNARDINE MUTANU WAKENYA wameombwa kuchukua bima ya mazishi ili kuwafaa zaidi wanapopatwa na msiba. Shirikisho la Watoaji Bima nchini...