Kitanuka Emirates leo!

NA MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA WENYEJI Arsenal na Manchester United zitavaana ugani Emirates katika mechi ya Ligi Kuu (EPL) iliyo na...

Arsenal kuzidisha mshahara wa Saka mara nne

Na MASHIRIKA ARSENAL wamefichua mpango wa kuzidisha mshahara wa kiungo mvamizi Bukayo Saka mara nne ili uwiane na ukubwa wa hadhi na...

NYOTA WA WIKI: Bukayo Saka

Na GEOFFREY ANENE BUKAYO Saka ni mmoja wa wachezaji makinda wanaoendelea kuleta raha kambini mwa Arsenal FC, kiasi cha timu hiyo...

Arsenal wakomoa Watford na kuingia tano-bora EPL

Na MASHIRIKA ARSENAL waliendeleza rekodi ya kutoshindwa katika mechi 10 mfululizo kwenye mapambano yote ya msimu huu baada ya kuwatandika...

Kinda Bukayo Saka hakustahili kupewa jukumu kubwa la aina hiyo – Roy Keane

Na MASHIRIKA ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United, Roy Keane, amelaumu Uingereza kwa kumpa Bukayo Saka jukumu la kupiga mkwaju wa...

FA yashtumu tukio la ubaguzi wa rangi dhidi ya Saka, Sancho na Rashford

Na MASHIRIKA SHIRIKISHO la Soka la Uingereza (FA) limeshtumu na kukashifu tukio la wanasoka Jadon Sancho, Marcus Rashford na Bukayo Saka...

Uingereza wakomoa Austria na kujiweka sawa kwa kampeni za Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA waliwapiga Austria 1-0 katika mechi ya kupimana nguvu iliyowakutanisha uwanjani Riverside mnamo Juni 2,...

Kane na Saka watawazwa Wachezaji Bora wa Mwaka 2021 katika EPL kutoka jijini London

Na MASHIRIKA MWANASOKA Harry Kane wa Tottenham Hotspur ametawazwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kutoka jijini...

Arsenal wapepeta Southampton na kutinga ndani ya orodha ya 8-bora EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta amesema kwamba ushindi wa 3-1 uliosajiliwa na vijana wake wa Arsenal dhidi ya Southampton mnamo Jumanne...

Saka, Lacazette wasaidia Arsenal kupepeta Wolves ligini

Na CHRIS ADUNGO BUKAYO Saka alisherehekea kupokezwa kwake mkataba mpya kambini mwa Arsenal kwa kuwafungia miamba hao wa zamani wa soka...

HAENDI: Arsenal yakaribia kukamilisha mazungumzo na Bukayo Saka

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza ARSENAL wanakaribia kukamilisha mazungumzo ya kumnasa kinda Bukayo Saka kwa mkataba wa muda mrefu...

SAKA ASAKWA: Liverpool wajitosa katika vita vya kuwania huduma za chipukizi matata

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza LIVERPOOL wamejitosa katika vita vya kuwania huduma za chipukizi matata wa Arsenal, Bukayo Saka ambaye...