Mbunge ataka wasimamizi wa Nyumba Kumi wapewe bunduki

Na KALUME KAZUNGU MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Lamu, Bi Ruweida Obbo, ameiomba serikali kuwapatia wanachama wa Nyumba Kumi...

Uchu wa raia kumiliki bunduki na jinsi ambavyo wanatapeliwa

Na MWANGI MUIRURI MJADALA unaoendelea nchini Kenya kuhusu ufaafu au ubutu wa kuwahami askari rungu umechora taswira ya jinsi wengi...

Walinzi wapewe bunduki, PSRA yapendekeza

NA CECIL ODONGO MAMLAKA ya Kusimamia Shughuli za Walinzi wa Kibinafsi Nchini (PSRA) sasa imependekeza walinzi wanaolinda maeneo spesheli...

MATHEKA: Mbinu mpya kudhibiti silaha haramu zinafaa

Na BENSON MATHEKA Hatua ya waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i ya kuagiza wanaomiliki silaha wakaguliwe upya na kupatiwa leseni za...

Uhuru apokea leseni mpya ya kumiliki silaha

Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta, Ijumaa alipokea leseni yake mpya ya kisasa ya kumiliki silaha kufuatia agizo lililotolewa na...

Mtoto wa miaka 4 ampiga mamake mjamzito risasi

MASHIRIKA Na PETER MBURU MTOTO wa miaka minne kutoka Marekani alimpiga mamake mja mzito risasi wakati alipopata bunduki chini ya...

TAHARIRI: Walinzi wote wakaguliwe kabla ya kupewa bunduki

NA MHARIRI WALINZI wa kibinafsi wanatekeleza jukumu muhimu la kulinda mali hapa nchini. Katika nyumba za makazi, biashara na shughuli...

Mwanafunzi wa chekechea ashtua shule kufika akiwa na bunduki

MASHIRIKA Na PETER MBURU MTOTO wa miaka sita nchini Marekani alishangaza watu wakati alipofika katika shule ya chekechea anaposomea akiwa...

Hofu wafanyabiashara wakilipa wahuni kuua washindani wao

Na NICHOLAS KOMU WAFANYABIASHARA mjini Nyeri sasa wanatumia magenge ya wahalifu kuhangaisha na kuwaua washindani wao wa kibiashara,...

Pasta ampiga risasi na kumuua mvamizi mwenye bunduki

Na MASHIRIKA WASHINGTON, AMERIKA PASTA alimpiga risasi na kumuua mvamizi aliyeshambulia duka la jumla la Walmart. Ripoti zilisema...

Kobia alimteka nyara na kumtesa raia wa Congo kwa bunduki, mahakama yaambiwa

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Congo aliyedaiwa kumlaghai mfanyabiashara maarufu wa humu nchini Bw Paul Kobia Sh40 milioni akidai angemuuzia...

Hoteli inayowapa wateja ‘bunduki’ kukabiliana na ndege wasumbufu

VALENTINE OBARA Na MASHIRIKA PERTH, AUSTRALIA HUKU Serikali ya Kaunti ya Mombasa ikipanga kutumia Sh30 milioni kuangamiza kunguru...