Majangili wavamia kituo na kuiba bunduki

Na JAMES MURIMI MAJANGILI waliokuwa na silaha kali, Jumatatu walivamia kituo cha polisi katika Kaunti-ndogo ya Laikipia Kaskazini ambapo...

Afisa wa GSU aangamiza wenzake wawili kwa risasi na hatimaye kujiua Trans-Nzoia

Na SAMMY WAWERU HALI ya huzuni imetanda katika kambi ya maafisa wa polisi wa kukabiliana na ghasia (GSU) ya Chepchoina, Kaunti ya...

Wabunge wandani wa Ruto wapokonywa walinzi, bunduki

VINCENT ACHUKA na CHARLES WASONGA USALAMA wa wanasiasa wandani wa Naibu Rais William Ruto sasa uko hatarini baada ya kupokonywa walinzi...

Mwanajeshi na polisi waliofyatuliana risasi kimakosa wafariki

Na FARHIYA HUSSEIN MWANAJESHI na polisi waliopata majeraha kwa kufyatuliana risasi kimakosa wamefariki kutokana na majeraha waliyopata...

Wanajeshi wawili na polisi wauguza majeraha baada ya kushambuliana kimakosa

Na FARHIYA HUSSEIN WANAJESHI wawili kutoka kikosi cha Kenya (KDF) na polisi mmoja wanaendelea kuuguza majeraha waliyopata baada ya...

Genge laiba bunduki za polisi wakati wa kafyu

NA WAANDISHI WETU KITUO cha polisi eneo la Muhoroni, Kaunti ya Kisumu kilivamiwa Jumamosi usiku na wezi wakaiba bunduki tatu na risasi...

Ngunjiri asalimisha bunduki yake kwa polisi

ERICK MATARA NA RICHARD MAOSI Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri Jumanne alisalimisha bunduki yake katika makao makuu ya DCI Nakuru baada...

Wanaomiliki bunduki haramu Samburu waonywa

Na GEOFFREY ONDIEKI Ogeoffrey2017@gmail.com Serikali imetoa onyo kwa wakazi wa kaunti ya Samburu wanaomiliki bunduki kinyume na...

Polisi azuiliwa kwa kupoteza bunduki

Na Dickens Wasonga POLISI mmoja anazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Siaya baada ya kupoteza bunduki yake.Kulingana na Kamanda wa...

Operesheni kuitafuta bunduki ya afisa aliyeuawa Lamu yaendelea

Na KALUME KAZUNGU OPERESHENI ya kusaka bunduki na risasi 60 zilizomilikiwa na afisa aliyeuawa kinyama eneo la Lamu Mashariki imeingia...

‘Watakaorejesha bunduki wanazomiliki kinyume cha sheria kufikia mwisho wa Septemba hawataadhibiwa’

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imewataka Wakenya wanaomiliki bunduki kinyume cha sheria kutumia muda wa msamaha wa mwezi mmoja uliotolewa...

Amerika si salama tena, ulimwengu waonywa

Na VALENTINE OBARA TAHADHARI ya usalama imetolewa kimataifa kwa watu wanaosafiri kwenda Amerika, kufuatia ongezeko la mashambulio ya...