Ombi lingine tatanishi kuhusu urais latua bungeni

Na CHARLES WASONGA OMBI tata la kuongeza muhula wa wabunge hadi miaka sita na kupunguza muhula wa rais hadi miaka minne liliwasilishwa...

Afueni kwa vijana bunge kuwaondolea visiki vya kupata ajira

Na CHARLES WASONGA BUNGE Jumatano lilipitisha hoja inayopendekeza kupiga marufuku vijana kutozwa ada ya kulipia vyeti vinavyohitajika...

Mfanyabiashara aitaka bunge limtimue Matiang’i kazini

 Na CHARLES WASONGA MFANYABIASHARA mmoja amelitaka Bunge la Kitaifa kubaini ikiwa Waziri wa Usalama Dkt Fred Matiang'i anastahili...

Bodi ya KNH imeshindwa na kazi, nyingine iundwe, kamati yapendekeza

[caption id="attachment_3287" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kuhusu Afya, Bi Sabina Chege. Picha/...

Wamalwa mbioni kubadilisha tarehe ya Uchaguzi Mkuu

Na CHARLES WASONGA  MSWADA wa kubadilisha tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Agosti 8 hadi  Desemba uliwasilishwa bungeni Jumatano. Mbunge...

Mawaziri wapya wahimizwa kuzingatia usawa kwenye utendakazi

[caption id="attachment_1605" align="aligncenter" width="800"] Mwanahabari wa zamani wa runinga ya Citizen Bi Farida Karoney ambaye ndiye...