Familia 15,000 kunufaika na mradi wa bwawa

Na SHABAN MAKOKHA FAMILIA zaidi ya 15,000 zinazoishi kwenye mpaka wa Uganda na Kenya Busia zitapata huduma ya maji safi baada ya mradi...

Wakazi wa Gatundu Kaskazini wataka walipwe fidia

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini waliandamana mnamo Jumanne hadi katika bwawa la Kariminu wakitaka walipwe kiasi cha fedha...

Wakazi wataka upatikanaji suluhu kwa masaibu yatokanayo na bwawa la Masinga

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Ekalakala, Masinga, Kaunti ya Machakos, wanalalamika kutokana na watu kuangamia katika bwawa la...

Wakurugenzi wa bwawa la mauti wapata afueni

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imesitisha kushtakiwa na kusikizwa kwa kesi dhidi ya wakurugenzi wawili wa kampuni ya Kensalt Limited...

Bwawa Uhuru latapika maji na kuathiri baadhi ya wakazi wa Ruiru

Na MWANDISHI WETU BWAWA Uhuru lililopo mjini Ruiru limetapika maji Alhamisi asubuhi kutokana na mvua iliyopitiliza. Wakazi wa mtaa wa...

Mradi wa bwawa Kariminu wang’oa nanga

Na LAWRENCE ONGARO MRADI mkubwa wa maji wa Kariminu II Dam wa kiasi cha Sh24 bilioni katika maeneo ya Buchana, Kiriko, Gathanji na...

Mama ‘mafichoni’ baada ya kulipwa fidia ya ujenzi wa bwawa la Kariminu

Na LAWRENCE ONGARO FAMILIA moja katika kijiji cha Buchana, Gatundu Kaskazini, inaiomba serikali kuingilia kati baada ya mzazi kwenda...

Ufisadi: Nani msema kweli?

Na BENSON MATHEKA UCHUNGUZI kuhusu sakata ya ujenzi wa mabwawa mawili katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet umeibua joto huku viongozi, maafisa...

Rais awavulia kofia wenyeji eneo la Solai

Na VALENTINE OBARA WAKAZI wa Solai, Kaunti ya Nakuru wamesifiwa kuwa mashujaa kwa ujasiri walioonyesha walipookoa wenzao wakati bwawa...

Baada ya mkasa wa Solai, maelfu sasa wanaishi kwa hofu

NA PETER MBURU Mkasa wa bwawa la Solai ambao uliwaua zaidi ya watu 40 sasa umeamsha hofu ya miaka mingi baina ya maelfu ya wakazi wa...

SOLAI: Serikali yaondoa maji katika mabwawa mengine mawili

Na ERIC MATARA WAHANDISI wa serikali Ijumaa waliondoa maji yaliyokuwa katika mabwawa mengine mawili yaliyo karibu na bwawa la Patel,...

DPP amtaka Boinnet ampe ripoti ya uchunguzi wa mkasa wa Solai kwa siku 14

Na ERIC MATARA Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Ijumaa alitaka uchunguzi ufanywe kubaini kiini cha mkasa wa bwawa la Patel eneo la...