Simu za Sudi, Kositany zatwaliwa na DCI baada ya kuhojiwa saa kadha

NA ERIC MATARA MBUNGE wa Kapseret, Oscar Sudi, mwenzake wa Soy Caleb Kositany na Spika wa Bunge la Uasin Gishu, David Kiplagat jana...

Mvutano Bondeni wanasiasa wakiweka harakati za kugawana viti

Na BARNABAS BII PENDEKEZO kwamba nyadhifa za kisiasa zigawanywe kwa msingi wa kikabila hasa katika kaunti za Kaskazini mwa Bonde la Ufa,...

Hatuogopi mswada wa kumtimua Ruto serikalini – Kositany

Na SAMMY WAWERU WANAOANDAA Mswada wa kumtimua Naibu wa Rais Dkt William Ruto serikalini waulete hatuuogopi, amesema mbunge wa Soy Caleb...

Kositany asema ataishtaki Jubilee kwa kumtimua

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Soy Caleb Kositany amesema atachukulia hatua chama tawala cha Jubilee (JP) kwa kile anadai ni kumtimua kutoka...

‘Tangatanga’ wakiri fimbo ya Uhuru yatisha

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Naibu Rais William Ruto, wamekiri kuwa fimbo kali ya Rais Uhuru Kenyatta iliwalazimu kuenda chini ya...

Mwandani mwingine wa Ruto amulikwa

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Rais Uhuru Kenyatta sasa wanataka Naibu Katibu Mkuu wa Jubilee Caleb Kositany apokonywe wadhifa huo kwa...

Muungano wa Ruto na Raila ni ndoto – Kositany

Na ONYANGO K'ONYANGO WANDANI wa Naibu wa Rais William Ruto, wamepuuzilia mbali uwezekano wa kufanya muungano wa kisiasa na kiongozi wa...