Watu 64 wakiwa kwa magari ya wamiliki binafsi wanaswa wakijaribu kukiuka zuio

Na LAWRENCE ONGARO ABIRIA wapatao 64 walinaswa katika kizuizi cha Chania katika mpaka baina ya mji wa Thika na Kaunti ya Murang'a...