Kanisa lakosoa chanjo ya lazima

Na MERCY MWENDE KANISA Katoliki limepinga pendekezo la serikali kuwa raia wote wanaotafuta huduma za umma wapate chanjo dhidi ya...

Wasio na vyeti vya chanjo kukosa huduma za serikali

Na WAANDISHI WETU Ripoti za Winnie Onyando, Daniel Ogetta na Elizabeth Merab WAKENYA ambao hawana cheti cha kupokea chanjo...

COVID-19: Vinara wa EPL wahimiza wachezaji kuchanjwa

Na MASHIRIKA VINARA wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na Serikali ya Uingereza wamehimiza wanasoka kuchanjwa dhidi ya Covid-19. Nusu ya...

Chanjo ya kuzuia corona yaharibika

Na ANGELA OKETCH CHANJO za kuzuia corona zinaharibika katika baadhi ya sehemu nchini kwa sababu idadi ndogo ya watu wanaojitokeza...

Wakazi wa Kiambu wahimizwa kuendea chanjo ya corona

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu wamehimizwa kujitokeza kwa wingi ili waendelee kuchanjwa dhidi ya homa ya...

Watu 7.1 milioni wamepata chanjo dhidi ya corona kufikia sasa – Uhuru

Na SAMMY WAWERU WATU 7.1 milioni wamepata chanjo ya virusi vya corona nchini kufikia sasa, ametangaza Rais Uhuru Kenyatta. Akihutubia...

Mahakama yakataa kuzima utoaji wa chanjo ya Covid-19 ya lazma kwa wakenya

Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI Ijumaa ilipata afueni mahakama ilipokataa kufutilia mbali agizo kila mwananchi awe amepata chanjo ya...

Wahudumu ufuoni waanza kupewa chanjo

Na SIAGO CECE, WAHUDUMU katika fuo za bahari Kaunti ya Kwale wameanza kupewa chanjo ya kuepusha maambukizi ya virusi vya...

Kenya yakusudia kuchanja raia 5m kufikia Desemba

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI inalenga kutoa chanjo ya corona kwa watu milioni tano kati ya sasa na Desemba, mwaka huu, huku kaunti za...

Google kufuta jumbe potovu kuhusu chanjo ya corona YouTube

Na MARY WANGARI KAMPUNI ya Google kupitia mtandao wake wa kijamii wa video wa YouTube, imezindua sera mpya inayopiga marufuku matini zote...

Chanjo ya corona ilivyo changamoto kwa wazee

NA PAULINE ONGAJI Alipopata dozi ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona mnamo Aprili 23, 2021, Anne Musanga, 70, mkazi wa eneo la...

Ukweli kuhusu chanjo za corona zilizoruhusiwa nchini

NA LEONARD ONYANGO KIASI kikubwa cha chanjo za corona huenda kikatupwa iwapo watu watakosa kujitokeza kuchanjwa ndani ya miezi mitatu...