CHOCHEO: Ukikutana na EX itakuwaje?

Na BENSON MATHEKA “NIMEFIKA mwisho. Nataka talaka. Siwezi kuvumilia maisha kama haya,” Liza alimweleza Peter. Hii ilikuwa baada...

CHOCHEO: Mume si suti, ni ujasiri!

NA BENSON MATHEKA Faiza alishangaza marafiki wake kwa kumuacha Ali na kumchumbia Abdul ingawa mwanamume huyo alikuwa akimpenda na...

CHOCHEO: Kupata mchumba si muujiza, lazima utoke ukutane na watu

Na BENSON MATHEKA NICK anakumbuka Januari 4 mwaka uliopita kama jana. Ni tarehe ambayo pasta wa kanisa lake alimtabiria kuwa kabla ya...

CHOCHEO: Harusi inapoteleza…

Na BENSON MATHEKA KWA miaka minne ambayo Aisha alikuwa mchumba wa Salim, alikuwa na furaha ambayo kila mtu hutamani katika uhusiano wa...

CHOCHEO: Krismasi bila sherehe, itakuwaje?

Na BENSON MATHEKA KILA Desemba Shiru huwa anafurahia kukutana na jamaa zake ushago kwa sherehe za Krismasi kwa siku tatu kabla ya...

CHOCHEO: Usiwe zuzu wa mapenzi

Na BENSON MATHEKA “HUWEZI ukamfanya mtu mwingine kuwa bora usipojiboresha kwanza. Huwezi ukapata mpenzi unayemtamani usipotia bidii ya...

CHOCHEO: Ufanyeje akipoteza figa?

Na BENSON MATHEKA "PAT hanitaki siku hizi. Anasema mimi sio yule demu alioa miaka mitano iliyopita nilipokuwa na figa 8. Tatizo lake ni...

CHOCHEO: Uhusiano unaozaa ndoa bora huanza kwa urafiki

Na BENSON MATHEKA DEBORAH anajuta kwa kukataa kuolewa na Sammy ambaye ni rafiki yake wa miaka mingi. Mwanadada huyo anasema sio...

CHOCHEO: Kumbania unyumba ni kualika vidudumtu

Na BENSON MATHEKA KWA miaka sita ambayo Eric amekuwa katika ndoa, hakuwa amemshuku mkewe Tabby. Mwanadada huyo alikuwa akimheshimu na...

CHOCHEO: Tendo la ndoa ni raha, si karaha

Na BENSON MATHEKA “MTU wangu amezidi siku hizi. Silali. Sijui hanjamu zake zimetoka wapi na akiendelea hivi sitaweza kuvumilia,”...

CHOCHEO: Mfadhaiko wa corona wafanya miereka ya kitandani kupungua

Na BENSON MATHEKA SIO siri kwamba janga la corona limeathiri pakubwa maisha ya mapenzi ya watu wengi. Marufuku ya kusafiri imenyima watu...

CHOCHEO: Siache corona kupangua harusi

Na BENSON MATHEKA DERRICK na Eva walikuwa wamekamilisha mipango yote ya harusi yao kabla ya janga la corona kuvamia ghafla. Walikuwa...