LEONARD ONYANGO: Watoto wa mitaani wasidhulumiwe kwa jina la kusafisha mji

Na LEONARD ONYANGO WATOTO wa mitaani, almaarufu chokoraa, wanaorandaranda katikati mwa jiji la Nairobi, Jumatano jioni, walijipata...

‘Kenya ina watoto wa mitaani zaidi ya 46,000’

NA STEVE OTIENO Sensa ya kitaifa iliyofanywa hapo 2019 imefichua kwamba Kenya ina watoto wa mitaani zaidi ya 46,000. Ripoti hiyo...

Masaibu ya chokoraa wakati wa kafyu

Na SAMMY WAWERU Kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, Kenya imekuwa ikitekeleza kafyu ya usiku, inayoanza saa moja za jioni hadi saa kumi...

Mwili wa chokoraa aliyezama mtoni akiwa na pingu wapatikana

NA TITUS OMINDE Mwili wa kijana wa kurandaranda mjini Eldoret ambaye alizama katika mto Sossian akiwa amefungwa pingu umepatikana...

Chokoraa aliyepigwa risasi na polisi alilia haki

  Bw Kaka Karanja anasema juhudi zake za kupata msaada kutoka kwa polisi zimegonga mwamba.Alisema alikuwa akitembea barabarani...

Mpango wa kuimarisha maisha ya vijana wanaorandaranda Nakuru

Na GEOFFREY ONDIEKI IDADI ya vijana wa kurandaranda mitaani wasio na makao inazidi kuongezeka kila kukicha Nakuru licha ya serikali ya...

Kaunti yatakiwa kubuni sera ya kupunguza chokoraa jijini

NA COLLINS OMULO KAUNTI ya Nairobi imetakiwa kuunda sera kuhusu njia ya kuwarekebisha tabia watoto wa kurandaranda mitaani maarufu kama...

Chokoraa waelezea hofu yao kaunti ikianza kuwasajili

NA RICHARD MAOSI Vijana wa kurandaranda mitaani ya Nakuru wameelezea hofu yao baada ya serikali kuanzisha shughuli ya kuwasajili ili...

Dai chokoraa walitelekezwa na kaunti lachunguzwa na seneti

Na ERIC MATARA MZOZO uliozuka baada ya serikali ya Kaunti ya Nakuru kuwatelekeza watoto wa kurandaranda mitaani waliowasafirisha na...

Chokoraa 36 wataka waelezwe waliko wenzao 5

NA RICHARD MAOSI CHOKORAA wanaozurura mjini Nakuru, sasa wanataka kuelezewa waliko wenzao watano kati ya 41 waliotupwa eneo la Torongo,...

Kimani Ngunjiri amkejeli gavana kwa kutelekeza watoto

NA RICHARD MAOSI MBUNGE wa Bahati Kimani Ngunjiri amemshtumu gavana wa Nakuru Lee Kinyanjui kwa 'kuwatupa' zaidi ya watoto 41, katika...

Chokoraa waliosafirishwa Baringo warejeshwa Nakuru

Na PETER MBURU WAKAZI wa eneo la Sawich, kaunti ya Baringo walipigwa na butwaa walipoamka na kupata kikundi cha watoto 41 wa...