Afanya KCPE akiwa ndani baada ya kuchoma nyumba ya mamake

Na PETER MBURU MTAHINIWA wa mtihani wa KCPE kutoka kaunti ya Bomet anafanyia mtihani katika kituo cha polisi, baada ya kukamatwa kwa...

WASONGA: TSC, walimu waelewane kukomesha mgomo shuleni

Na CHARLES WASONGA SHULE zilifungwa wiki iliyopita baada ya kukamilika kwa muhula wa pili ulioshuhudia visa vingi vya utovu wa nidhamu,...

‘Mchungaji’ achoma nyumba mkewe kumtomzalia watoto wa kiume

Na MAGATI OBEBO MWANAUME katika Kaunti ya Nyamira alichoma nyumba zake mbili kutokana na ghadhabu za kutozaliwa mtoto wa kiume na...

Achoma nyumba ya mpangaji kwa kutolipa kodi ya Sh2,000

Na KNA POLISI wameanzisha msako dhidi ya mshukiwa aliyeteketeza nyumba ya mpangaji wake kwa kukosa kulipa kodi ya Sh2,000 kjijini...

Iran yateketeza bendera ya Amerika bungeni

AFP na CHARLES WASONGA WABUNGE wa Iran walitekeza bendera ya Amerika huku wakiimba "Kifo kwa Amerika" Jumatano ndani ya bunge la taifa...

Jombi achoma nguo za mke aliyemnyima asali

Na CORNELIUS MUTISYA KUSYOMUOMO, MACHAKOS KIOJA kilitokea hapa, polo alipotia kiberiti nguo za mkewe akidai alikuwa amemnyima uroda...

Fujo chuoni baada ya mwanafunzi kuuawa

  [caption id="attachment_1210" align="aligncenter" width="800"] Jengo la klabu ya Dalawa mjini Bondo ambalo lilichomwa na wanafunzi wa...