Serikali haitaweka vikwazo dhidi ya wageni kuingia Kenya kufuatia mlipuko wa aina mpya ya corona

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Kenya haina mipango ya kuwazuia wasafiri kutoka mataifa yaliyoathirika na aina mpya ya virusi vya...

Bunge laisuta serikali kwa kutomakinika kuzuia virusi vya Corona

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wameisuta serikali kwa kuruhusu ndege yenye abiria 239 kuingia nchini kutoka China wakisema hiyo inaonyesha...

Ligi ya Olunga yaahirishwa kwa sababu ya coronavirus

Na GEOFFREY ANENE JAPAN imetangaza Februari 25 kusimamisha mechi zote za Ligi Kuu (J-League) na mashindano mengine kwa sababu ya tishio...

Coronavirus inavyohangaisha Wakenya

Na VALENTINE OBARA UGONJWA wa Coronavirus uliochipuka nchini China mnamo Desemba mwaka uliopita, sasa unatishia kuathiri maisha ya...

Wakenya walio China wasema pesa si muhimu

MARY WANGARI na PHYLIS MUSASIA Zaidi ya Wakenya 3,000 waliokwama katika mkoa wa Wuhan, nchini China kutokana na mkurupuko wa Homa ya...

Huenda huu ndio mwisho wa dunia?

Na WAANDISHI WETU UGONJWA wa coronavirus uliochipuka China mnamo Desemba 2019 umeibua mjadala huku baadhi ya vyombo vya habari vikiutaja...

TEKNOHAMA: App ya kukabiliana na homa ya Corona

Na LEONARD ONYANGO HUKU Shirika la Afya Duniani (WHO) likisema kuwa kinga dhidi ya homa ya Corona itapatikana ndani ya miezi 18 ijayo,...

China kuharibu pesa zote kuzima maambukizi zaidi

Na MASHIRIKA BENKI Kuu ya China imetangaza kuwa itaharibu pesa zote ambazo zimekusanywa na hospitali, mabasi na hata masoko katika...

HOFU KUU! Hofu ya coronavirus yalazimu Man-United kumtenga Ighalo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imefichua kuwa, sajili mpya Odion Ighalo anafanya mazoezi mbali na...

SHINA LA UHAI: Mkurupuko wa homa ya Corona ni nini na utaepukaje?

Na LEONARD ONYANGO KENYA ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyo katika hatari kubwa ya kupatwa na maambukizi ya homa ya Corona ambayo...

Jumla ya watu 563 wamekufa kutokana na virusi vya Corona

NA AFP IDADI ya watu ambao wamefariki kutokana na maradhi ya Homa ya China Alhamisi ilipanda kwa siku tatu mfululizo hadi kufikia watu...

Homa ya China yazua hofu

ELIZABETH MERAB, NASIBO KABALE na SIMON CIURI HOFU imezuka kuhusu uwezekano wa Homa ya China kusambaa nchini baada ya mwanafunzi...