Covid: Kagwe aapa kupuuza uamuzi wa korti kuhusu chanjo

RICHARD MUNGUTI na PIUS MAUNDU MAHAKAMA Kuu imepiga breki agizo la Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kwamba Wakenya ambao hawatakuwa wamepata...

TAHARIRI: Aina mpya ya Covid ikabiliwe isilete lockdown

KITENGO cha UHARIRI Wizara ya Afya imetangaza hatari ya aina mpya ya virusi vya corona ambayo imeanza kushambulia mataifa mbali mbali...

Covid: Sakata ya uuzaji wa vyeti yaibuka

Na AMINA WAKO MAAFISA walaghai katika Wizara ya Afya (MoH) wanauza vyeti vya chanjo ya Covid-19 kwa Sh1,000. Uchunguzi wa Taifa Leo...

Corona yachangia wanafunzi 400,000 kukatiza masomo

Na FAITH NYAMAI ZAIDI ya wanafunzi 400,000 wa shule za msingi na upili walikatiza masomo yao kati ya Machi 2020 na Machi 2021 kutokana...

Kongamano la ugatuzi kuhudhuriwa na wachache kutokana na corona

Na WINNIE ONYANDO KONGAMANO la ugatuzi linalotarajiwa kufanyika mwezi huu wa Agosti sasa litahudhuriwa na watu 1,000 waliochanjwa kama...

Kenya yasajili visa vipya 1,259 vya Covid-19 kufikisha idadi jumla ya 203,213

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya kwanza ndani ya miezi miwili iliyopita Kenya, Jumamosi imenakili visa 1,259 vipya vya maambukizi ya...

Hofu idadi ya maambukizi ya corona ikipanda tena nchini

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miezi miwili, Kenya mnamo Jumatano iliandikisha zaidi ya visa 1,000 vipya vya...

MARY WANGARI: Utafiti mpya wahimiza manufaa ya kupokea chanjo

Na MARY WANGARI WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya...

Corona hatari sana yaja hata kwa waliopata chanjo – WHO

Na MASHIRIKA GENEVA, Uswisi MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko...

Covid yalipuka Kisumu wiki baada ya ziara ya Uhuru, Raila

Na WAANDISHI WETU RUSHDIE OUDIA, BENSON AMADALA, BENSON AYIENDA, GEORGE ODIWUOR, DERICK LUVEGA, SHABAN MAKOKHA, VITALIS KIMUTAI na IAN...

Corona imeua wengi zaidi kinyume na taarifa – WHO

Na MASHIRIKA GENEVA, Uswisi JUMLA ya watu 1.2 milioni duniani walifariki kutokana na makali ya Covid-19 bila kuambukizwa na virusi...

Covid: Magavana zaidi katika hatari ya kuadhibiwa

Na WANDERI KAMAU HUENDA hatua ya Seneti kumwondoa mamlakani Gavana Mohamud Abdi wa Wajir, Jumatatu, imefungua njia kwa magavana wengine...