Madaktari walioenda Cuba warejea Kenya kuanza kazi

Na MARY WAMBUI MADAKTARI 48 raia wa Kenya waliotumwa nchini Cuba na Wizara ya Afya kwa masomo ya uzamili kuhusu Tiba ya Jamii sasa...

Madaktari 20 wa Cuba kupiga jeki vita dhidi ya Covid-19

Na CHARLES WASONGA SERIKALI ya Kenya imeomba msaada wa madaktari 20 kutoka Cuba kusaidia katika vita dhidi ya janga la Covid-19 hivi...

Korti yaelezwa jinsi madaktari wa Cuba walivyotekwa nyara

Na MANASE OTSIALO MAHAKAMA ya Mandera, Alhamisi ilisimuliwa matukio ya jinsi madaktari wawili wa Cuba mjini Mandera walivyotekwa nyara...

Amerika yalalama madaktari wa Cuba wanateswa

Na ANITA CHEPKOECH AMERIKA imeweka vikwazo vya usafiri dhidi ya maafisa wa Cuba inaodai kuwa, wanatumiwa na serikali kunyanyasa...

Madaktari wa Cuba waliotekwa bado hawajulikani waliko

Na MANASE OTSIALO HATIMA ya madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nyara Aprili 12 mwaka huu na watu walioshukiwa kuwa magaidi wa Al...

Tunateseka, wakazi Lamu waitakata serikali kuwarudisha madaktari wa Cuba

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa Lamu wanaililia serikali ya kitaifa kuwarudisha madaktari wa Cuba ambao waliondolewa kwenye kaunti hiyo...

Kenya yaapa kutojadiliana na Al Shabaab

Na CHARLES WASONGA KENYA imesema kamwe haitafanya mazungumzo yoyote na kundi la kigaidi la Al Shabaab ambao waliwateka nyara madaktari...

Madaktari wa Cuba wahamishiwa kaunti zingine

Na BERNARDINE MUTANU Madaktari wa Cuba waliokuwa wametolewa kuhudumu katika kaunti tano wameondolewa huko na kupelekwa katika hospitali...

Dereva kikaangoni kuhusu madaktari wa Cuba

Na RICHARD MUNGUTI DEREVA aliyekuwa anawaendesha madaktari wawili wa Cuba waliotekwa nyara katika kaunti ya Mandera Ijumaa na magaidi...

Madaktari wa Cuba waitwa Nairobi

NA KALUME KAZUNGU ATHARI za tukio la washukiwa wa Al-Shabaab kuwateka nyara madakari wawili wa Cuba waliokuwa wakihudumu kaunti ya...

Magaidi walivyoteka madaktari wa Cuba katika kaunti ya Mandera

Na MANASE OTSIALO na PETER MBURU WATU wanaoaminika kuwa magaidi wa Al-Shabaab mnamo Ijumaa walivamia na kuteka nyara madaktari kutoka Cuba...

Jaji azima madaktari wa Cuba kuanza kuhudumu Kenya

Na MAUREEN KAKAH HATIMA ya madaktari kutoka Cuba ambao walianza kuwasili nchini juzi kuhudumu Kenya, sasa iko mikononi mwa mahakama...