VISABABISHI: Tatizo la damu kuganda mwilini si jambo geni katika masuala ya kiafya

Na LEONARD ONYANGO WATAALAMU wanaonya kuwa tatizo la kuganda kwa damu linaweza kutokea mtu anapotumia dawa kupita kiwango...

Wasiwasi huku vituo vya damu vikikauka

Na WAANDISHI WETU VITUO vya afya na hospitali mbalimbali katika maeneo ya Nyanza na Magharibi vinakabiliwa na uhaba mkubwa wa damu baada...

Vituo mbalimbali Busia vyakabiliwa na upungufu wa damu katika hifadhi zao

SHABAN MAKOKHA na SAMMY WAWERU VITUO vya afya katika Kaunti ya Busia vinakabiliwa na hali ya upungufu wa damu katika hifadhi baada ya...

Corona yachangia uhaba wa damu katika hifadhi Mombasa

Na MISHI GONGO KUNA upungufu mkubwa wa damu katika kituo cha hifadhi ya bidhaa hiyo mjini Mombasa hali hii ikishuhudiwa tangu kuzuka kwa...

SHINA LA UHAI: Wasiwasi wa wauguzi uhaba wa damu ukikithiri

Na BENSON MATHEKA MAELFU ya wagonjwa nchini wanakabiliwa na hatari ya kuaga dunia baada ya kubainika kuwa nchi hii inakabiliwa na...

Unachotakiwa kufanya ili kiwango cha damu kiongezeke mwilini

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com UPUNGUFU wa damu mwilini ni ile hali ya kiwango kuwa kidogo kuliko kinachotakiwa na...

AFYA: Jinsi ya kubaini na kujilinda dhidi ya maradhi ya shinikizo la damu

NA MWANDISHI WETU Maradhi yasiyosambazwa (NCD) husababisha vifo milioni 16 kabla ya waathiriwa kutimu umri wa miaka 70, huku asilimia 82...

Hizi ndizo sababu za baadhi ya wajawazito kutokwa na damu puani

Na LEONARD ONYANGO WANAWAKE wajawazito wanaweza kutokwa na damu puani si kwa sababu ni wagonjwa bali kutokana na mabadiliko ya homoni...

KWA KIFUPI: Dawa ya kuzuia damu kuvuja bila kuganda sasa imepatikana

Na LEONARD ONYANGO IKIWA wewe ni mmoja wa watu ambao damu huvuja kwa muda mrefu bila kuganda unapojikwaa, basi kuna habari njema...

Bingwa wa utoaji damu kwa ajili ya kuwasaidia wanaoihitaji awasili nchini

Na MAGDALENE WANJA BINGWA wa utoaji damu dunia nzima kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wanayoihitaji Arjun Prasad Mainali amewasili...

Hofu sanamu ya Yesu kutiririkwa na machozi ya damu

BENSON MATHEKA na MASHIRIKA Acapulco, Mexico HOFU imezuka nchini Mexico baada ya sanamu moja ya mtoto Yesu kaunza kulia machozi ya...

VALENTINO: Wakazi wa Nakuru walivyojitolea kutoa damu

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa Nakuru Alhamisi walimiminika mjini humo kusherehekea Valentino Dei kwa ukarimu na furaha ya aina...