Safari ndefu ya mwanachuo kusaka maisha bora baada ya kuugua ukoma

Na MAUREEN ONGALA MAKOVU ya vidonda miwilini, kuanzia kwa mikono hadi miguu, ndilo thibitisho pekee kwamba Francis Thoya alikuwa ameugua...

Anafuata ndoto zake licha ya kutengwa na mama yake tangu akiwa mtoto

Na SAMMY WAWERU Baada ya kuwa chuoni kwa kipindi cha muda wa miaka minne mfululizo Faith Jeruto ana kila sababu ya kutabasamu. Mwisho...

DAU LA MAISHA: Aliacha kazi ya kuajiriwa akaanzisha kampuni ya huduma za usafiri

Na PAULINE ONGAJI ALIAMUA kuacha kazi ya kuajiriwa na kuanzisha kampuni yake ya usafiri. Jina lake ni Vidya Jethwa, 39, Meneja...

DAU LA MAISHA: Ajizatiti kupunguza mapuuza ya vijana

Na PAULINE ONGAJI KUNA msemo mmoja ambao asili yake haijulikani, kwamba, ukitaka kuficha kitu kisipatikane na Mwafrika, basi kibanze...

DAU LA MAISHA: Aliacha kazi ya benki kupigana na ukeketaji

Na PAULINE ONGAJI LICHA ya kuwa hajakumbana ana kwa ana na madhara yanayotokana na ukeketaji, Wanjiru Wahome amejitwika jukumu la...

DAU LA MAISHA: Anahamasisha mtoto wa kike kusomea sayansi

Na PAULINE ONGAJI UFANISI wake kama mhadhiri, mtafiti na mtoa nasaha katika masuala ya sayansi ya kompyuta umemtambulisha sio tu humu...

DAU LA MAISHA: Vita vyake dhidi ya dhuluma za kijinsia vyafanya awe msimamizi wa kijiji

Na PAULINE ONGAJI VITA vyake dhidi ya dhuluma za kijinsia vimempa umaarufu katika jamii yake. Kutana na Christine Namunyak, msimamizi...

DAU LA MAISHA: Japo mdogo atumia taji kupiga vita kansa

Na PAULINE ONGAJI HUKU ulimwengu ukipanga kuadhimisha siku ya uhamasishaji wa maradhi ya Kansa juma lijalo, utafiti wa Wizara ya Afya...

DAU LA MAISHA: Kajenga himaya ya biashara mtandaoni

Na PAULINE ONGAJI AGHALABU biashara ya uokaji huhusishwa na akina mama na ni watu wachache hudhani kwamba yaweza kuleta mavuno...

DAU LA MAISHA: Ni miaka saba sasa tangu akitupe kisu cha ukeketaji

Na PAULINE ONGAJI ALIPOKATA kauli kuachana na kazi ya kukeketa wasichana, bila shaka alitambua kwamba mambo hayangekuwa rahisi hasa...

DAU LA MAISHA: Mwenge wa haki za wasichana na wanawake vitongojini

Na PAULINE ONGAJI YEYE ni mmoja wa mabinti ambao wamejitolea kuelimisha wasichana na wanawake katika vitongoji duni vikuu nchini kuhusu...

DAU LA MAISHA: Afisa wa afya anayekabili janga la uzazi wa mapema

Na PAULINE ONGAJI TAKWIMU zinaonyesha kwamba idadi ya wasichana wanaoshika mimba na kuzaa wakiwa wangali wachanga imekuwa ikiongezeka...