DAU LA MAISHA: Anapigana na desturi potovu kuokoa waseja na hata walioachika

Na PAULINE ONGAJI WAHENGA walisema muacha mila ni mtumwa, msemo ambao umesababisha kuwepo kwa jitihada kibao kuhifadhi baadhi ya...

DAU LA MAISHA: Anawainua wazazi wanaolea peke yao

Na PAULINE ONGAJI MARA nyingi wazazi wanaowalea wanao peke yao (single parents) hukumbwa na changamoto ya kutekeleza majukumu yao ya...

DAU LA MAISHA: Anapiga vita ulanguzi wa watu na utumwa

Na PAULINE ONGAJI KATIKA taifa ambalo viwango vya ukosefu ajira vinaendelea kuongezeka, Wakenya wengi wamekuwa wakitafuta fursa za ajira...

DAU LA MAISHA: ‘Heri ya kijungujiko kuliko ‘ombaomba’…’

Na PAULINE ONGAJI UNAPOTAZAMA ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Facebook, ni rahisi kudhani ni msichana wa kawaida mwenye umri...

DAU LA MAISHA: Bila ujuzi wala uzoefu kajitosa katika ujenzi

Na PAULINE ONGAJI BILA tajiriba, ni wanawake wachache ambao wana ujasiri wa kujitosa katika sekta zinazotawaliwa na wanaume hasa ya...

DAU LA MAISHA: Digrii anayo lakini auza ndizi mtaani

Na PAULINE ONGAJI NYAKATI hizi ambapo viwango vya ukosefu wa ajira vimekuwa vikiongezeka kila kuchao, vijana wengi wamekuwa wakipoteza...

DAU LA MAISHA: Bidii yake yatambuliwa kazini

Na PAULINE ONGAJI KATIKA umri wa miaka 33 pekee, yeye ni meneja mkurugenzi wa VAELL Kenya, mojawapo ya mashirika makuu ya kukodisha bidhaa...

DAU LA MAISHA: Afunza watoto, vijana kuthamini mazingira safi

Na PAULINE ONGAJI SIO siri kwamba ulimwengu unazidi kusakamwa na uchafuzi wa mazingira huku hasa janga la plastiki likizidi kuwa donda...

DAU LA MAISHA: ‘Kazi ni kazi, mradi wapata tonge la siku’

Na PAULINE ONGAJI KWA baadhi, kazi ya uendeshaji teksi haipaswi kufanywa na wanawake hasa kutokana na sababu za kiusalama. Hasa...