Wazee waitaka NACADA kutuma kikosi kuzima uraibu wa mihadarati Lamu

NA KALUME KAZUNGU Wazee na viongozi wa kidini Kaunti ya Lamu wametamaushwa na ongezeko la vijana wanaotumia dawa za kulevya eneo hilo...

KRA yanasa heroin iliyofichwa kwa ala za muziki JKIA

Na BERNARDINE MUTANU Mamlaka ya Kukusanya Ushuru (KRA) Jumatano ilikamata dawa za kulevya aina ya heroin za thamani ya Sh2.9 milioni...

Polisi wanasa muuzaji wa Heroin Lamu

NA KALUME KAZUNGU POLISI katika Kaunti ya Lamu Jumanne wamemkamata mwanamume wa miaka 42 baada ya kupatikana na sacheti 12 za Heroin na...

Maafisa 3 wa KRA wanaswa na dawa za kulevya

Na MWANDISHI WETU Maafisa watatu wa KRA walikamatwa na kiwango kikubwa cha dawa za kulevya aina ya Mandrax, katika Uwanja wa Ndege wa...

Walanguzi wote wa dawa za kulevya wanyongwe – Trump

Na AFP RAIS Donald Trump wa Amerika sasa anataka walanguzi wa dawa za kulevya wanyongwe kama njia mojawapo ya kukabiliana na mihadarati...