Matiang’i aahidi kuanika walanguzi wa mihadarati

Na MOHAMED AHMED WAZIRI wa Usalama wa Kitaifa, Dkt Fred Matiang’i amefichua mipango ya serikali ya kuchapisha majina ya walanguzi wa...

Kiini cha wavulana kutorejea shuleni

Na WAANDISHI WETU WAVULANA wengi kote nchini, wameshindwa kurudi shuleni kwa kuwa walizoea kupata pesa wakiwa nyumbani shule...

SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIAFRIKA: Jamii na wazazi wahimizwa kuhakikisha watoto wako salama

Na MISHI GONGO HUKU Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiafrika ikiadhimishwa leo Jumanne, afisa mkuu wa watoto mjini Mombasa Bw Philip...

Ibrahim Akasha ndani miaka 23

Na RICHARD MUNGUTI HIMAYA ya uuzaji dawa za kulevya ya familia ya marehemu Ibrahim Akasha  aliyeuliwa Uholanzi imeporomoka kufuatia...

2019: Vita dhidi ya mihadarati Pwani vilififia

NA MOHAMED AHMED AGOSTI 13 itasalia kwenye kumbukumbu za Wakenya, hasa Wapwani mwaka huu unapoelekea kukamilika. Mwendo wa saa nane...

Balala alaumu Bandari, CFS kwa ulanguzi wa mihadarati

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Utalii na Wanyamapori, Najib Balala amelaumu Bandari ya Mombasa na sehemu za kuhifadhi makasha (CFS) akidai...

Polisi waendesha msako wa walanguzi wa dawa Pwani

Na WAANDISHI WETU MKEWE bwanyenye wa Mombasa, Ali Punjani alitiwa mbaroni na polisi Jumanne wakati wa operesheni kwenye nyumba yao eneo...

WASONGA: Matiang’i ajue mbinu za kisasa za walanguzi

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Usalama, Dkt Fred Matiang'i mnamo Jumapili alitangaza kuwa serikali imeanzisha upya vita dhidi ya dawa za...

Matiang’i atangaza vita dhidi ya mihadarati

MOHAMMED AHMED NA MISHI GONGO WAZIRI wa Usalama wa Nchi, Dkt Fred Matiang’i ameanzisha upya vita dhidi ya dawa za kulevya katika Pwani...

Korti yaelezwa Akasha alimuua mkewe, akachoma mtoto wake

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA mlanguzi mkuu wa dawa za kulevya Baktash Akasha anayezuiliwa Amerika, alimuua mkewe na kumchoma mwanawe kwa...

Mkenya atupwa ndani maisha China kwa kulangua kokeini

Na AGGREY MUTAMBO MAHAKAMA ya China imemhukumu Mkenya kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la ulanguzi wa dawa za kulevya. Kesi hiyo...

Mbinu mpya za walanguzi kusafirisha mihadarati zaanikwa

Na VALENTINE OBARA IMEFICHUKA kuwa walanguzi wa dawa za kulevya sasa wanatumia mbinu mpya za kusafirisha mihadarati humu nchini ili...