Deacons sasa kuuzwa kulipa madeni

Na BERNARDINE MUTANU Wasimamizi wa duka la rejareja la kuuza nguo, Deacons Afrika Mashariki, wameamua kuuza kampuni hiyo kwa lengo la...

Deacons yatimua wafanyakazi 93 kubana matumizi

Na BERNARDINE MUTANU Deacons East Africa imewafuta kazi wafanyikazi 93 kwa lengo la kudhibiti gharama. Kampuni hiyo pia inalenga...

Deacons East Africa kuwekwa katika usimamizi

Na BERNARDINE MUTANU Duka la manguo la Deacons East Africa huenda likatolewa kwa usimamizi mpya kutokana changamoto za kifedha...