Auza suti ya polo apate hela za saluni

Na TOBBIE WEKESA KERICHO KIPUSA mtaani hapa aliwashangaza wengi alipoamua kuuza suti mpya ya mumewe ili apate fedha za kumwezesha...

Demu mlevi atimua wazazi

Na JOHN MUSYOKI MBITINI, MACHAKOS KIZAAZAA kilizuka mtaani demu alipowatimua wazazi wake, walipomtembelea nyumbani na kumpata amelewa...

Demu aliyekataa kupika afurushwa

Na TOBBIE WEKESA KITALE MJINI Kizaazaa kilizuka katika ploti moja mtaani humu baada polo kumfurusha kidosho mpenzi wake alipokataa...

Demu alazimisha awe mke wa pili

Na MWANDISHI WETU GANZE, KILIFI DEMU aliyewekwa kinyumba na jamaa mtaani hapa na kupata mimba, alikataa kuondoka mke wa jombi...

Atemwa na demu kwa kutomlipia karo

Na JOHN MUSYOKI MUKONDE, MAKUENI MWANADADA mmoja kutoka hapa aliwashangaza wenzake alipomtema mpenzi wake kwa kukataa kumlipia...

Ajua hajui kumkasirisha demu

NA NICHOLAS CHERUIYOT BROOKE, KERICHO Kipusa wa hapa aliamua kumuaibisha jamaa aliyemtema kwa kuzua kioja chumbani mwake akidai hela...

Demu kidomodomo apigwa kibuti

Na John Musyoki ISIOLO MJINI KIPUSA wa hapa alisutwa na majirani kwa kutaka kumtema mpenzi wake alipoamua kujiunga na chuo kuendelea...

Demu amzaba kofi landilondi kwa kukatalia deposit

Na TOBBIE WEKESA ZIMMERMAN, NAIROBI KIZAAZAA kilizuka kwenye ploti moja mtaani hapa baada ya kipusa kumzaba kofi landilodi alipokataa...

Demu mfyonzaji atemwa na sponsa

Na John Musyoki KIANGINI, MAKUENI KIPUSA mmoja kutoka eneo hili alifurushwa na sponsa wake mkahawani kwa kuwa na mahitaji chungu...

Demu ajuta kumtema mpenzi wa chuoni

Na Leah Makena Kangaru, Meru Kidosho wa hapa alifokewa vikali na jamaa aliyekuwa mpenzi wake chuoni kwa kutaka kumrudia baada ya...

Demu aliyeteka mdosi wake ajuta kujigamba

Na JOHN MUSYOKI Masii, Mwala KIPUSA anayefanya kazi katika duka moja la jumla mjini hapa alijipata pabaya kwa kujigamba kwamba...

Apoteza demu kwa kimya cha siku mbili

Na Leah Makena Kirigara, Chogoria JAMAA wa hapa alilazimika kurudi mawindoni baada ya kutemwa na mpenzi wake alipokosa kumvutia waya...