Serikali yawataka wazazi walinde watoto dhidi ya dhuluma na habari potovu mitandaoni

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI inawataka wazazi kuwajibika na kuwalinda watoto wao dhidi ya habari potovu na dhuluma mtandaoni. Waziri wa...

Ole Lenku aenda Uarabuni kuokoa msichana anayeteswa

Na Stanley Ngotho GAVANA wa Kajiado Joseph Ole Lenku alilazimika kusafiri hadi milki ya Kiarabu (UAE) ili kumwokoa msichana Maasai...

Dhuluma za kisaikolojia zinavyawatesa wanandoa kipindi cha corona

NA WANGU KANURI AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi...

Dhuluma: Mbunge ahimiza wanawake wazungumze waziwazi badala ya kujitia unyongeni

Na KALUME KAZUNGU MBUNGE Mwakilishi wa Wanawake katika Kaunti ya Lamu, Bi Ruweida Obbo, amewahimiza wanawake wanaopitia dhuluma za aina...

Mzee aliyerushwa nje ya SGR apatikana hai siku 4 baadaye

Na PAUL WAFULA MZEE aliyerushwa nje ya gari moshi kwenye reli ya kisasa (SGR) Jumanne iliyopita alipatikana akiwa hai jana baada ya...

Mwalimu taabani kwa kumdhulumu mtahiniwa wa KCSE

PIUS MAUNDU Na SAMMY WAWERU MWALIMU mkuu wa shule moja ya upili Kaunti Ndogo ya Yatta, Kaunti ya Machakosi ameshtakiwa kwa madai ya...

Serikali yamkata pembe Magoha kwa kumdhulumu afisa wizarani

Na CHARLES WASONGA TUME ya Utumishi wa Umma (PSC) Ijumaa ilimpokonya Waziri wa Elimu Prof George Magoha mamlaka ya kusimamia wafanyakazi...

Wataka wa Kakuzi wataka vikao vya wazi kukusanya ushahidi kuhudu dhuluma

Na MWANGI MUIRURI Wakazi wanaoishi karibu na kampuni ya Kakuzi, Kaunti ya Murang’a sasa wanataka mahakama ya wazi ibuniwe kupokea...

Ripoti: Wanaume walipigwa zaidi na wanawake kipindi cha corona

Na WANDERI KAMAU WANAUME wengi walipigwa ama kutukanwa na wapenzi wao walipokuwa wakikaa nyumbani kutokana na kanuni za kukabili virusi...

Visa 5,000 vya dhuluma za kijinsia vyaripotiwa

Na SAMMY WAWERU Ongezeko la asilimia 7 ya visa vya dhuluma na vita vya kijinsia vimeandikishwa nchini kati ya mwezi Machi na Juni 2020,...

Mahakama yaamuru Wachina wanne warudishwe kwao

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Jumatano iliamuru raia wanne wa Uchina walionaswa katika video wakimchapa Mkenya warudishwe nchini kwao mara...

Wachina waliochapa Mkenya mijeledi kuadhibiwa vikali na serikali

Na LEONARD ONYANGO POLISI wamekamata raia wanne wa China kuhusiana na video iliyochipuka mtandaoni ikionyesha Mchina akichapa viboko...