Dhuluma dhidi ya wanawake bado zipo – Umoja wa Mataifa

Na MAGDALENE WANJA Wakati ulimwengu uliadhimisha siku ya haki za kibinadamu siku ya Jumanne, kitengo cha UN-Women ambacho ni mojawapo ya...

NGUGI: Mabinti wa kisasa wakome kuwananyanyasa waume katika ndoa

Na MWITHIGA NGUGI MKUKI kwa nguruwe siku zote huwa ni mtamu lakini kwa binadamu huwa ni mchungu. Wakati mtoto wa wa kike anapofanyiwa...

Chama chalia wanaume wanaopigwa na wake zao wasaidiwe

NA JOSEPH WANGUI CHAMA cha Maendeleo ya Wanaume kimelia kwamba wanaume waliopo kwenye ndoa wanaendelea kupokezwa kipigo na wake zao,...

Mwanamke amuua mwanamume aliyemzaba kofi

Na PETER MBURU MWANAMKE Jumanne alimuua mwanamume katika eneo la Elburgon, Kaunti ya Nakuru, baada ya mwanamume huyo kumzaba...

Ajuza asimulia korti jinsi mwanawe amekuwa akimcharaza

REGINA KINOGU Na STEPHEN MUNYIRI NYANYA wa miaka 80 Jumatatu aliwafanya watu kulia ndani ya mahakama moja Karatina, Kaunti ya Nyeri...

Wizara mbioni kuchunguza dhuluma Nairobi School

NA MARY WANGARI Kisa kuhusu mwanafunzi wa shule ya upili ya Nairobi School aliyedhulumiwa na viranja kiasi cha kufanyiwa upasuaji wa...

Mbunge kituoni baada ya kuzaba mkazi makofi

NA MWANDISHI WETU MBUNGE wa Gem, Elisha Odhiambo ameandikisha taarifa kwa polisi kufuatia kisa ambapo alidaiwa kumshambulia mwanamume...

Finland kusaidia Kilifi kukomesha dhuluma

CHARLES LWANGA na KALUME KAZUNGU GAVANA wa Kaunti ya Kilifi Amason Kingi, atashirikiana na serikali ya Finland kutatua dhuluma za...

Wasamaria kutoka kuzimu

Na VALENTINE OBARA TABIA ya wahisani kutoka ng'ambo kuwadhulumu watoto mayatima na wanaotoka familia maskini, imefikia upeo mpya baada...

Polisi lawamani kwa kumcharaza na kumjeruhi mwanamke

NA KALUME KAZUNGU MAAFISA wa polisi Kaunti ya Lamu wamemulikwa kwa mara nyingine kufuatia kisa cha kumpiga mwanamke na kumuumiza raia...

Wito kituo cha kuokoa wasichana waliodhulumiwa kijengwe

NA KALUME KAZUNGU MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali na wanaharakati wa kupigania haki za watoto kaunti ya Lamu wanaitaka serikali na wadau...

54%: Polisi waliongoza kwa ubakaji uchaguzi mkuu wa 2017 – KNCHR

Na PETER MBURU MAAFISA wa usalama nchini walikuwa mstari wa mbele kutekeleza unyama wa dhuluma za kingono wakati na baada ya uchaguzi mkuu...