Barasa: Waliozua fujo Kabuchai wangali huru, tunaonewa kama wandani wa Ruto

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kimilili Bw Didmus Barasa amedai wandani wa Naibu wa Rais, Dkt William Ruto wanahangaishwa kwa sababu ya...

Mbunge ashtakiwa kwa kuuza gari kabla hajamaliza kulipa mkopo

Na Benson Matheka na Stanley Ngotho MBUNGE wa Kimilili Didmus Barasa Jumanne alishtakiwa kwa kuuza gari ambalo alikuwa amenunua kwa...

Mbunge amtakia Raila kifo ili Jubilee itawale bila bughudha

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kimilili Didmus Baraza amewashangaza Wakenya kumtakia kifo kiongozi wa ODM Raila Odinga kuhusiana na...