Azimio langu ni kufikia upeo wa Mercy Johnson, asema Dorcas Gatuna

Na JOHN KIMWERE ''SIKU moja mtaiona sura yangu kwenye runinga.' Haya ni matamshi yake Dorcas Mwihaki Gatuna akifunguka alivyozoea...