DRC, Rwanda zakubali kusitisha uadui wao

NA ARNALDO VIEIRA LUANDA, ANGOLA JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda zimekubaliana kusitisha mapigano na uhasama baina...

Maelfu watoroka makwao baada ya volkano kulipuka

Na AFP MAELFU ya watu walitoroka makwao baada ya volkano kulipuka na lava kusambaa kutoka Mlima Nyiragongo kufika jiji la Goma, DRC...

Mjane wa balozi wa Italia nchini DRC avunja kimya

Na PATRICK ILUNGA MWANDISHI WA NMG, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) WIKI moja baada ya kuuawa kwa Balozi wa Italia...

Wanajeshi 23 waliofungwa kwa mauaji ya Kabila waachiliwa baada ya miaka 20

Na Mashirika WANAJESHI 23 walioshtakiwa kwa tuhuma za kushiriki kwenye mauaji ya aliyekuwa rais wa DR Kongo, Laurent Kabila,...

Wapiganaji waua 25 DRC mkesha wa mwaka mpya

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC RAIA 25 wameuawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), maafisa walisema Ijumaa...

Wanaharakati 36 wakamatwa DRC kupinga ada za simu

NA MASHIRIKA WANAHARAKATI 36 Jumapili walikamatwa nchini humu kwa kuongoza maandamano ya kupinga ada za juu za mawasiliano zinazotozwa...

Waandamanaji wapinga mauaji ya raia nchini DRC

Na AFP WAANDAMANAJI wapatao 5,000 waliziba barabara na kuteketeza magurudumu katika mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Serikali ya Tshisekedi kudhibitiwa na Kabila

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC ALIYEKUWA Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila atakuwa na ushawishi mkubwa katika...

Utekaji watorosha madaktari wasio na mipaka nchini DRC

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesema kwamba limesitisha shughuli zote muhimu nchini DRC baada...

Rais mpya wa DR Congo augua ghafla akiapishwa

NA AFP RAIS mpya wa DR Congo Felix Tshisekedi Alhamisi aliugua ghafla wakati alipokuwa akiendelea kuapishwa mjini Kinshasa, na...

Raia wa Uganda na DRC wasakwa kwa ulaghai wa dhahabu

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wawili wa kigeni wameamriwa watiwe nguvuni kwa kuwalaghai wafanyabiashara wa kimataifa zaidi ya Sh85 milioni...

Serikali yatoa tahadhari mpya kuhusu Ebola

Na WAIKWA MAINA SERIKALI imetoa tahadhari mpya kuhusu mkurupuko wa Ebola baada ya ugonjwa huo kuripotiwa katika Jamhuri ya Demokrasia ya...