Duale atetewa dhidi ya lawama za kuchangia kushikwa kwa gavana wa Garissa

NA KNA WAZEE kutoka ukoo wa Abduwak wamemtetea vikali kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale dhidi ya madai kwamba yeye ndiye alichochea...

Duale aonya Kadhi Mkuu kuhusu Eid-Ul-Adha

Na JUMA NAMLOLA KIONGOZI wa Wengi katika Bunge la Kitaifa, Aden Duale ametishia kuitaka Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) imjadili Kadhi...

ODM yaionya Jubilee dhidi ya kuvuruga muafaka

Na BARACK ODUOR WABUNGE wa Chama cha ODM wameonya wenzao wa Jubilee dhidi ya kujaribu kuvuruga maelewano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na...

Gharama hii ya harusi na mahari inaogofya vijana kuasi ukapera – Duale

Na GALGALO BOCHA KIONGOZI wa wengi bungeni Aden Duale amelalamikia gharama kubwa ya harusi na mahari za jamii ya waislamu kuwa chanzo...

JAMVI: Uhuru anavyotumia teuzi kama chambo cha kuinasa jamii ya Wasomali

Na WANDERI KAMAU UTEUZI wa Noordin Haji kama Mkurugenzi Mpya wa Mashtaka ya Umma (DPP) na Rais Uhuru Kenyatta ni sehemu ya msururu wa...

Hakuna nusu mkate, Duale afafanua

Na CHARLES WASONGA Kiongozi wa wengi katika Bunge la Kitaifa Aden Duale Jumatano alisema muungano wa upinzani bado utakuwa ukiendelea...

Atwoli ataka Duale apokonywe kazi

[caption id="attachment_1218" align="aligncenter" width="800"] Katibu Mkuu wa COTU Bw Francis Atwoli. Picha/ Maktaba[/caption] Na...