Echesa aondolewa lawama katika sakata ya Sh39Bn ya silaha kwa DoD

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA waziri wa michezo Rashid Echesa aliyeshtakiwa kwa sakata ya Sh39bilioni aliachiliwa huru Ijumaa baada ya...

Hatimaye Echesa atiwa nguvuni

Na SAMMY WAWERU HATIMAYE aliyekuwa Waziri wa Michezo Bw Rashid Echesa amekamatwa kwa kumzaba kofi afisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na...

Echesa akamatwe – Mutyambai

NA LEONARD ONYANGO Inspekta Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ameagiza waziri wa zamani wa Michezo Rashid Echesa akamatwe mara moja...

Malala na Echesa mafichoni wakisakwa na polisi kwa kuzua vurugu Matungu

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Kakamega Bw Cleophas Malala na aliyekuwa Waziri wa Michezo, Bw Rashid Echesa wanasakwa na maafisa wa polisi...

Echesa akamatwe mara moja – Chebukati

MACHARIA MWANGI Na SAMMY WAWERU MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Bw Wafula Chebukati amekashifu vikali tukio ambapo...

Echesa anaswa akimzaba kofi afisa wa IEBC katika uchaguzi mdogo Matungu

Na SAMMY WAWERU ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Eshesa amejipata pabaya baada ya kunaswa akimzaba kofi mmoja wa afisa wa Tume Huru ya...

Echesa asirudishiwe silaha wala gari – DPP

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji alikata rufaa kupinga agizo polisi wamrudishie aliyekuwa waziri wa...

Nashangazwa na Ruto kusalia kimya wandani wake wakizimwa – Echesa

NA IBRAHIM ORUKO SHOKA la chama tawala cha Jubilee bungeni limezua hisia kali katika wandani wa Naibu Rais William Ruto eneo la...

Echesa aendelea kuandamwa na madai ya uhalifu

Na MARY WAMBUI ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Echesa, ameendelea kuandamwa na masaibu baada ya maafisa kutoka Idara ya Kuchunguza...

Echesa achunguzwe alivyoingia kwa ofisi yangu – Ruto

Na BENSON MATHEKA Uchunguzi kuhusu kashfa ya utapeli inayodaiwa kuhusisha ofisi ya Naibu Rais William Ruto unapoendelea, maswali...

Utapeli ofisi kuu

Na VALENTINE OBARA KASHFA ya utapeli inayogusa afisi ya Naibu Rais William Ruto, inaendeleza mtindo wa watu mashuhuri na ofisi kuu...

Anayelengwa katika kesi ya Echesa ni Ruto, mawakili wadai

Na RICHARD MUNGUTI MAWAKILI wa aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa anayekabiliwa kashfa ya Sh40 bilioni ya ununuzi wa silaha za...