Echesa alivyojifanya msaidizi wa Ruto

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA waziri wa michezo Rashid Echesa alimtia Naibu Rais William Ruto taabani alipojitambulisha kwa wawekezaji...

Echesa asukuma Ruto kona mbaya

Na LEONARD ONYANGO NJAMA ya utapeli kuhusu ununuzi wa silaha iliyopelekea aliyekuwa Waziri wa Michezo Rashid Echesa kukamatwa wiki...

Echesa kukaa rumande mpaka Jumatatu kwa sakata ya Sh40b

Na FRANCIS NDERITU ALIYEKUWA Waziri wa Michezo, Bw Rashid Echesa, Ijumaa alitupwa rumande na mahakama moja jijini Nairobi hadi Jumatatu...

Raila amechangia pakubwa kwa umaskini magharibi mwa nchi – Echesa

Na PETER MBURU ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Echesa sasa amemlaumu kiongozi wachama cha ODM Raila Odinga, kuwa ndiye sababu eneo la...

JAMVI: Echesa azinduka, ajipanga kwa kura za 2022

Na BENSON MATHEKA Tangazo la aliyekuwa Waziri wa Michezo, Bw Rashid Echesa kwamba atamuunga kiongozi wa chama cha Amani National...

Echesa amtoroka Ruto, aunga Mudavadi

Na SHABAN MAKOKHA ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Echesa amegura kambi ya Naibu Rais William Ruto na kumuunga mkono kinara wa Amani...

Rais nisamehe, watu wananidharau sasa, Echesa alia

Na LEONARD ONYANGO ALIYEKUWA Waziri wa Michezo Rashid Echesa sasa anamlilia Rais Uhuru Kenyatta kumsamehe na kumwokoa kutokana na...

Malala, Echesa walivyonaswa

Na BENSON AMADALA na VALENTINE OBARA VIOJA vilishuhudiwa Ijumaa wakati Seneta wa Kakamega, Bw Cleophas Malala na aliyekuwa Waziri wa...

Ruto azungumzia kufutwa kazi kwa Rashid Echesa

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Naibu Rais William Ruto amezungumzia suala la kufutwa kazi kwa Rashid Echesa ambaye alikuwa ni Waziri wa...

Handisheki ilichangia kutimuliwa kwangu, Echesa sasa alia

Na IBRAHIM ORUKO ALIYEKUWA waziri wa Michezo Rashid Echesa, amelaumu ‘handisheki’ kati ya Rais Kenyatta na Kiongozi wa ODM, Raila...

Wabunge wa Magharibi watisha kuhama Jubilee baada ya Echesa kutiwa adabu

Na SHABAN MAKOKHA Wabunge wa Jubilee eneo la Magharibi wametisha kuhama chama hicho kulalamikia kufutwa kazi kwa aliyekuwa waziri wa...

ULANGUZI WA BINADAMU: Waziri Echesa taabani

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Ijumaa iliamuru wasichana wanane kutoka Pakistan walioruhusiwa kuingia nchini na Waziri wa Utamaduni na...