FATAKI: Wanawake walio mamlakani wasiogope kupambana na hawa wambea wanaosambaza uvumi wa uongo

Na PAULINE ONGAJI HIVI majuzi nilisoma habari ambapo mke wa rais wa Ufaransa, Bi Brigitte Macron alikuwa ameshtaki jukwaa fulani la...

FATAKI: Ni upumbavu kuamini thamani ya mwanamke hushuka akizaa

Na PAULINE ONGAJI KUNA hii dhana potovu kwamba mwanamke akizaa au umri wake kuongezeka, basi thamani yake vile vile kiu ya madume...

FATAKI: Komesheni tabia ya kutia mkono chunguni kabla mboga kuchemka

Na PAULINE ONGAJI MAPEMA wiki hii nilikutana na chapisho fulani la kuchekesha kwenye mtandao mmojawapo wa kijamii. Chapisho hilo la...

FATAKI: Raha jipe mwenyewe dada, siache vigezo vya jamii vikunyime starehe

Na PAULINE ONGAJI SIKU kadhaa zilizopita kulikuwa na mjadala ulioibuliwa na maoni ya kaka mmoja kuhusu binti fulani. “Bibi huyo...

FATAKI: Uwongo wa waume ni mwingi; ni jukumu lako kuujua na kujiondoa

Na PAULINE ONGAJI SUALA la migogoro ya kimapenzi baina ya wanawake na wanaume ambao ni waume wa watu sio geni. Limekuwepo tokea...

FATAKI: Ajabu jamii kutilia shaka werevu wa binti kwa kuangalia maumbile

Na PAULINE ONGAJI MAJUMA kadhaa yaliyopita kulikuwa na binti fulani aliyetuzwa tuzo ya uanahabari wa sayansi ambapo hadithi yake...

FATAKI: Ubabe-dume, ujeuri na ujuaji mwingi si ujasiri, ni ugumegume

Na PAULINE ONGAJI WIKI kadha zilizopita bwana mmoja mtandaoni alionekana kuwashangaza wengi alipochapisha ujumbe akimuomba mkewe msamaha...

FATAKI: Ikiwa wewe bahili wa mali na moyo, basi mapenzi yatazidi kukuchenga

Na PAULINE ONGAJI MAJUMA kadhaa yaliyopita nilizungumzia kuhusu kikundi fulani cha wanaume cha kubuni mtandaoni kinachojiita Stingy Men...

FATAKI: Imarisha chombo chako uweze kupiga mbizi baharini badala ya kulalama bure!

NA MWANDISHI WETU Kuna tabia ambayo imekithiri miongoni mwa madume. Nazungumzia ile tabia ya kutumia neno kisima kumaanisha uke wa...

FATAKI: Unyenyekevu si udhaifu wala haupunguzi hadhi au nafasi yako kama mwanamume

Na PAULINE ONGAJI WIKI iliyopita kulikuwa na mjadala kwenye kikundi kimoja kwenye mtandao wa kijamii ambapo baadhi ya wanachama walikuwa...

FATAKI: Ni unafiki kukejeli wanawake waliokataa kutumia ‘rasilimali’

Na PAULINE ONGAJI PENGINE umekutana na picha fulani mtandaoni inayoonyesha mabinti wawili wakining’inia nyuma ya lori. Japo...

FATAKI: Mapenzi ya kweli si tu kutembea mmeshikana mikono

Na PAULINE ONGAJI pongaji@ke.nationmedia.com SIKU kadhaa zilizopita nilisoma maoni fulani ya kuchekesha mtandaoni. Maoni hayo...